Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Huu uzu nimeupenda sana! Watu wanatembea na code tu,unashangaa wana wanakusagia kunguni na wewe una comment kwenye Uzi huu huu! Ha ha ha ha!.

Hawa vigogo acheni tu,yule Mzee wa mia tisa ha kenda na yeye yumo kwenye mambo! Kuna kidada kipo Dodoma,pale hadi amekijengea house! Mzee wa kutoa macho kama kapigwa kabari na vibaka wa mwananyamala!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom