Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Yani anahangaika wewe mtu kifupi ka stuli unaenda ongeza tako na hips siunakuwa mulemavu ujue kila mtu alivoumbika ndio ilivotakiwa kuendana na kimo. Sasa huyo hata sura haivutii anaongezea kishimo ka Cha mdako huko usoni.
Alafu na ww caria unajua kusurubu watu wanaofanya ndivyo sivyo!!
eti kishimo cha mdako duuh!
 
Mmh huyu huyu Hamisa ambaye nasikia alikuwa anamfukuzia na kumtega mo de wigi wa simba, akidhani atahongwa walau gari akaishia kupewa laki 1 na kuliwa kwa mpalange..

Nasikia mo de wigi ni mbahili sana, anakula wadada kwa mpalange na hahongi pesa nyingi kama the late Mzee machache reymage
mzee nae alikuwa madau
 
Na yule wa tbt ashawahi kuliwa sjui kaacha enzo hzooo!!!mpk kina joti wakaigiza

Sent using Jamii Forums mobile app
😅😅😅..mkuu mpaka natamani kukujua adi hii unayo,,..
Hii story kubwa sana ilala na wat wengi wanaifahamu,,.
Ila yule mtu anaheshmika sana maeneo haya,,
Watu wakafunika kombe mwanaharam apite,,
Hilo tukio lilitokea kwao kbsa ilikua balaa kubwa skuiyo.
 
Ni nani huyu?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom