Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Unajua kwanini fisi ananuka sana tofauti na Simba japo wote wanakula nyama, ni kwasababu yeye anakula mizoga mnoo, kwahiyo jitahidi kutafuta [emoji3][emoji3].
Watu humu mmepinda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahaaa yeah niliskia hivo na shishi asingechezea kumkataa in-box kisa uchebe aisee.

Uchebe akaona amdunde tu ila Mr. Inbox inaonyesha mapenzi kayajua ukubwani mbona ana beba mashangingi yaliyoshindikana mjini aisee, I'm sure na kwa uwoya atamkacha ahamie hata kwa nice joy Berry au poshyqueen.

Mr inbox anaupiga mwingi sana
Kimti aliwahi sema Mr inbox anakula wagonga meza huko ugogoni city
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom