Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Huyo demu nandy ana roho mbaya kinyama ,

Mwambieni atulipe hela zetu za Nandy festival najua atakuwa anasoma humu.

Nandy acha kujionesha una hela wakati tunakudai hela zetu , huoni hata aibu unapost umenunua range halafu una madeni. Unakaa ghorofani Mbezi wakati watu Wanakudai.

Mikoani umeacha madeni hata aibu huoni kila ukipigiwa simu hupokei.
Huyu huyu anayesema hela alionunulia gari anaweza kula laki kila siku kwa miaka 60? Kweli ushamba mzigo😂
 
Kabisaaa yaani Wolper ni mtu wa show off ila hana lolote shoga yulee anabeba begi zimaa anaenda fotoshoot anapiga picha na nguo kama 30 hivi...!!!!

halafu anaposti nusu nusu miezi mi3[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]!!!!kumbe zimepigwa siku moja!!!
Nimecheka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kama namsingizia akanushe Kama hadaiwi mamilion ya Nandy festival.

Huyu manzi ana roho chaaaaaaafu ni suala la muda ataporomoka kimuziki maana linapokuja suala la hela ni ibilisi na anadhulumu Haki ya mtu.


Nandy Kama unasoma humu lipa madeni ya watu ni dhambi Sana kula hela za watu
Poleni inabidi mdaigi hela cash, niliskia yule Rocka wa mwendokasi kamlamba mtoto nana dollz kwa kumfanyisha video vixen kisha badala ya 500k akamtia 50k
 
Poleni inabidi mdaigi hela cash, niliskia yule Rocka wa mwendokasi kamlamba mtoto nana dollz kwa kumfanyisha video vixen kisha badala ya 500k akamtia 50k
Na Yule mtoto alikua anataka
Dyudyu Tu maana anatoka
Chuo anaenda kurlax kwake at akingoja
Pind la jion na hapo ndo mwendo kas
Alipata fursa ya kumtumia
 
Hakuna Hata cha kumridhisha pesa tu na ustaaa mjini baasi na hivi hana nyotaaa,alikua anatembelea vibe la wasafi!!!

[emoji3][emoji3][emoji3]muache siye tupoo..mnyaki mshamba wa mapenzi yule!!


Kabisaaa fahima anaona bora atulie ahudumiwe Vanboi kwa mwanawe anajitahidi sana kuhudumia Hata Fahima amekula sana gudtime ndo maana anapagawa kutemwa na ametemwa kwa ujinga wake..

Unajua kisa ni uchawi yasemekana!!katoto kashirikina balaa
Katoto ka bumbuli kale [emoji1787]
 
Na Yule mtoto alikua anataka
Dyudyu Tu maana anatoka
Chuo anaenda kurlax kwake at akingoja
Pind la jion na hapo ndo mwendo kas
Alipata fursa ya kumtumia
Basi walikuwa wapenzi😂 hao demu anakujaje kulala kwako kizembe kama hamna ishu!
 
Manzi hela anayo aiseeh!

DSTV wamempa milion zaidi ya 150 kuigiza ile tamthilia yao.

Nandy festival TTCL wamempa zaidi ya Milion 150 na Bia ya Guinness wakampa milion 20.

Hapo sijaja kwenye music Streaming platforms na dili zingine Kama endorsement. Hela anayo Nandy trust me! Tena ipo


Ila Huyo manzi Ni bahili sijapata kuona. Hata Kama umefanya nae kazi shida kulipa.
Ubahili uko damuni basi kama kulipa watu in less than 50m hawezi ni mshamba tu
 
Nilijua tu wikiendi hyoooo!!!halafu nimekumbuka mmemtaja Tessy chocolate daahh!nilitajiwa sponsa wake nimemsaha!looooh!!whyyyy??!![emoji21][emoji21][emoji21][emoji21][emoji21][emoji21][emoji21][emoji21][emoji21][emoji21]
Shokanishoka
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Leo chai nmekunywa
Saa Saba na huku nliko barid Kama lote
Watu wanaamka nayo saa moja[emoji1][emoji1]
Kuhusu lunch nmetiliza mpaka dinner
Ndo nakusubiria ulete[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Hii cm leo imetumika mbaya
Data iko on tangu 6:30am
Mpaka sasa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]looh
 
Hana maajabu dadaa!hivi wajua it was serious ishu ya pango ndo akaanza kufanya matangazo!

Wema kampani zinamharibu umbea huu inabidi ntoe nusu nusu kwanza..

Dahh!nafsi inauma kulisahau danga la Tessy miye mwee!!
Woiiiii !nshalikumbukaaa...

Yarrabi tobaaaaaa!!!nna raha ajabu!
Shokanishoka

Sukuma gang meneja
 
Basi walikuwa wapenzi[emoji23] hao demu anakujaje kulala kwako kizembe kama hamna ishu!
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] ndo hapo sasa et alikua
Anaona ugumu kwenda home na kurudi jion
Sasa anakua anaenda Kwa mchiz
Kupga story na wenzake
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Walikua wanadate
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom