Wanavurugwagwa balaa na uchizi juu.
Uwoya nae akishatemwaga na maboss zake anapoaga sana na show off zinaishaga anakua kimyaaa, sema ana kismat sana hakai mda mrefu anarudi kwenye reli km kawaida, ila anajisahau sana huyu Dada!wenzie wanamsikitikia sana.
Yaani kwa bata la Uwoya kibongobongo sio poa!hajiongezagi hajui kua ataachwa na atachunda anaamini kila Siku atawika tu!halafu wanamnangaga sana hao mashosti zake.
Sasa we shopping Dubai badala ya kuwekeza kama wenzao kina Vera na Huddah wanaendekeza starehe