reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,203
- 28,789
Kabisaa uko sahihi haji ana hila haswaaa![emoji23][emoji23][emoji23] nasema uongo kwan?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisaa uko sahihi haji ana hila haswaaa![emoji23][emoji23][emoji23] nasema uongo kwan?
Yeaaaah ndo hivyo yaan. [emoji23][emoji23][emoji23]Kabisaa uko sahihi haji ana hila haswaaa!
Tobaaaaaaa!Huyo huyo kahamia jangwani
Anatumia Hali yake Ile kujiropokea ila yeye akiguswa anatumia ulemavu as excuse na hata hao wanawake nao wamefata umaarufu wake tu hapoHaji ana shida sanaa tena ni taabu kukaa nae yaani ni kipaji haswaa ana inferiority complex mnoo!sishangai ndoa hii nayo kufa!
Yan Kwa sasa anamzid hata esma Kwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uko sahihi umaskini na njaa huchakaza Sana watu,mama dangote Sasa hivi kijana kabisa
Kabla ya hela alikuwa mzee ila sikuhizi kijana, pesa ni sabuni ya roho jamaniYan Kwa sasa anamzid hata esma Kwa
Mvuto jaman aiseee pesa hii
Alaf 10yrs ago alikua Kama Bibi
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Kivipi tena mkuuKumbe walikua wanapromote show ya professor na jide bwana
Ni nani uyu tena?Sio wote wana Ngoma bwana!!mi naowajua wachache hapo kuna mmoja alisahau kuondoka na dozi house girl wake akapiga picha kuulizia ndo ikasambaa wengine sina hakika nao!
Dammit!!![emoji51][emoji51]Amkeni amkeniView attachment 1965675
Wa kulia naskia ana kimimbaDammit!!![emoji51][emoji51]
Daaah...hii dunia inakoelekea sasa sio kabisa.Amkeni amkeniView attachment 1965675
Mtihani Sana'a!!Daaah...hii dunia inakoelekea sasa sio kabisa.
Kuna mtu wangu wa karibu,alishawahi niambia kuishi na Haji Manara ni kazi mno!Rasmi Manara na mkewe wameachana yasemekana bwana yule na nduguze wana gubu balaaa!!!na hivi ye ndo mzungu waoo baasi ndugu we uzaramoni na umanyema wamejaa kibaoo!!kumtoa hila bi nashida!!!
Dunian kuna mamboView attachment 2002461