mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Mzee kuhusu masuala ya ushoga.Hizi story za Bdozen ni uongo mtupu, I think is a high time Bdozen jitokeze ukanushe, maana zimepitiliza sasa, unapokaa kimya zinaonekana ni kweli, ni watu tu nachuki zao, why mseme Bdozen ndio analiwa na sio Majay ndio analiwa na Bdozen? Mtu anakomaa as if kuna ushahidi...ooh mara alimuacha demu wake saa nane akaingia kwenye apartment ya mwanaume mwingine? Hivi mnajua hata anakokaa Bdozen? Mtu anayeandika hizo story yuko Sumbawanga, anaandika as yeye ndio demu wake
Usimuwekee dhamana mtu yeyote.
Atakuachia mashuka.
Kuna waalimu wa boarding school wanaliwa,kuna patron wanaliwa tena mpaka na wanafunzi.
Ukiwaona hauwezi amini.
wewe jiamini wewe mwenyewe.