Lt Col Alexander Nyirenda (RIP)

Lt Col Alexander Nyirenda (RIP)

FMES,
Kabla ya Mwalimu kumwondoa Sarakikya jeshini alimwita pale Msasani na kumwambia kama anakitaka hicho kiti ambacho Mwalimu alikuwa amekilalia basi awaombe raia wa Tanzania na si kufanya njama za mapinduziya kijeshi. Kwa hiyo naaamini kabisa kuwa zile njama za 1972 alihusika kabisa.
Alikuwa ni Tajiri Zambia .mke wake Ana Alzheimer's
 
Ni kweli kuwa Luteni Alex Nyirenda ndie aliyesimika mwenge na bendera ya 🇹🇿 katika uhuru peak ya mlima Kilimanjaro. Ila aliyebeba mwenge kutoka chini mpaka kileleni ni kibarua Emmanuel Petro Minja. Kabla ya kupewa kazi hiyo Mzee Minja alipewa usaili wa kupanda na kushuka na kifurushi cha kilo 5 mpaka katika katika kilele. Walitumia siku 16 kufika kileleni. Luteni Nyirenda alisadikiwa kuhusika na mgomo jeshini ( The 1964 Tanganyika Army Mutiny) uliokuwa unapinga mazingira mabovu ya waafrika jeshini ikilinganishwa na wanajeshi wa kizungu.Mgomo huu ndio ulikuwa kama jaribio la kwanza la kutaka kumpindua Nyerere.Baada ya mgomo jeshi lilibadilishwa kutoka Tanganyika Army na kuwa TPDF. Nyirenda pia aliwahi kutuhumiwa kuwa mmalawi.Alizaliwa Malawi na Nyirenda ni jina la kimalawi. Alistaafu enzi za Nyerere akiwa Major.Mzee mwinyi akampa ubrigedia Jenerali. Alifariki 2008 kwa saratani ya koo na ugonjwa wa moyo.
 
Ni kweli kuwa Luteni Alex Nyirenda ndie aliyesimika mwenge na bendera ya [emoji1241] katika uhuru peak ya mlima Kilimanjaro. Ila aliyebeba mwenge kutoka chini mpaka kileleni ni kibarua Emmanuel Petro Minja. Kabla ya kupewa kazi hiyo Mzee Minja alipewa usaili wa kupanda na kushuka na kifurushi cha kilo 5 mpaka katika katika kilele. Walitumia siku 16 kufika kileleni. Luteni Nyirenda alisadikiwa kuhusika na mgomo jeshini ( The 1964 Tanganyika Army Mutiny) uliokuwa unapinga mazingira mabovu ya waafrika jeshini ikilinganishwa na wanajeshi wa kizungu.Mgomo huu ndio ulikuwa kama jaribio la kwanza la kutaka kumpindua Nyerere.Baada ya mgomo jeshi lilibadilishwa kutoka Tanganyika Army na kuwa TPDF. Nyirenda pia aliwahi kutuhumiwa kuwa mmalawi.Alizaliwa Malawi na Nyirenda ni jina la kimalawi. Alistaafu enzi za Nyerere akiwa Major.Mzee mwinyi akampa ubrigedia Jenerali. Alifariki 2008 kwa saratani ya koo na ugonjwa wa moyo.

at least walimuenzi vyema.
 
..unaweza kukuta wamemtunza Nyirenda peke yake wakati alikuwa na wenzake.

..kwa mfano, kuna picha ambayo Nyirenda alipigwa akiweka mwenye kileleni mwa mlima Kilimanjaro.

..Je, picha hiyo ilipigwa na nani? Je, mpiga picha aliyeambatana na Nyirenda ametajwa popote na kutunzwa?

hili nalo tatizo,kwamba kifaa cha kwamza kutua mwezini,halafu camera haitajwi kwanza[emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom