Alikuwa ni Tajiri Zambia .mke wake Ana Alzheimer'sFMES,
Kabla ya Mwalimu kumwondoa Sarakikya jeshini alimwita pale Msasani na kumwambia kama anakitaka hicho kiti ambacho Mwalimu alikuwa amekilalia basi awaombe raia wa Tanzania na si kufanya njama za mapinduziya kijeshi. Kwa hiyo naaamini kabisa kuwa zile njama za 1972 alihusika kabisa.