Lt Col Alexander Nyirenda (RIP)

Alikuwa ni Tajiri Zambia .mke wake Ana Alzheimer's
 
Ni kweli kuwa Luteni Alex Nyirenda ndie aliyesimika mwenge na bendera ya 🇹🇿 katika uhuru peak ya mlima Kilimanjaro. Ila aliyebeba mwenge kutoka chini mpaka kileleni ni kibarua Emmanuel Petro Minja. Kabla ya kupewa kazi hiyo Mzee Minja alipewa usaili wa kupanda na kushuka na kifurushi cha kilo 5 mpaka katika katika kilele. Walitumia siku 16 kufika kileleni. Luteni Nyirenda alisadikiwa kuhusika na mgomo jeshini ( The 1964 Tanganyika Army Mutiny) uliokuwa unapinga mazingira mabovu ya waafrika jeshini ikilinganishwa na wanajeshi wa kizungu.Mgomo huu ndio ulikuwa kama jaribio la kwanza la kutaka kumpindua Nyerere.Baada ya mgomo jeshi lilibadilishwa kutoka Tanganyika Army na kuwa TPDF. Nyirenda pia aliwahi kutuhumiwa kuwa mmalawi.Alizaliwa Malawi na Nyirenda ni jina la kimalawi. Alistaafu enzi za Nyerere akiwa Major.Mzee mwinyi akampa ubrigedia Jenerali. Alifariki 2008 kwa saratani ya koo na ugonjwa wa moyo.
 

at least walimuenzi vyema.
 

hili nalo tatizo,kwamba kifaa cha kwamza kutua mwezini,halafu camera haitajwi kwanza[emoji38][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…