Luambano wa Clouds FM awashauri Simba kuachana na Mo Dewji

Luambano wa Clouds FM awashauri Simba kuachana na Mo Dewji

Mpira ni biashara, gsm kaonyesha hivyo mo akiondoka itakuwa fursa kwa watu wengine kujitokeza.
Jiulize wakati Sheria inasemaje wawekezaji wasiwe chini ya watatu kwanini anataka yeye peke yake awe mwekezaji.
"wawekezaji wasiwe chini ya watatu", Samahani, hapa umenipa kitu nilichokuwa nakifahamu. Sasa naomba kufahamu zaidi, je sheria hii inafanya kazi hadi kwa Yanga? Kama ndiyo, naomba unitajie wawekezaji watatu ndani ya klabu ya Yanga!
 
Yanga mchakato wao haujakamilika hvyo hakuna mwekezaji yeyote aliyejitokeza.
Ila kwasasa Yanga wapo kwenye mchakato wa kufanyia tathmin klabu yao na kujua thaman ili kuweza kukaribisha wawekezaj
 
kunatofauti kubwa kati ya Tajiri Mo, na matajiri wenzake Katumbi, Motsape na wale wanaomiliki tumu za waarabu.

Mwenzetu ni mtu mwema lakini moyo wake sioni kama umeelekezwa sana kwenye maendeleo ya timu. Naona kama umeelekea kwenye matangazo ya bidhaa zake.
 
"wawekezaji wasiwe chini ya watatu", Samahani, hapa umenipa kitu nilichokuwa nakifahamu. Sasa naomba kufahamu zaidi, je sheria hii inafanya kazi hadi kwa Yanga? Kama ndiyo, naomba unitajie wawekezaji watatu ndani ya klabu ya Yanga!
Hii Sheria inafanya kazi Hadi kwa yanga, wenyewe wamesema watatangaza utaratibu hivi karibuni na Mali za club hazitahusishwa.
 
Hii Sheria inafanya kazi Hadi kwa yanga, wenyewe wamesema watatangaza utaratibu hivi karibuni na Mali za club hazitahusishwa.
Sheria hii haiwezi kufanya kazi kwenye club ya Simba kwa sababu wakati inatugwa tayari simba ilikuwa imeshampata Mo na kama unavyojua sheria ikitungwa haiwezi kurudi nyuma inaanzia hapo hapo
 
Ujue sijui kama mnajua ilivyo ngumu kwa MO KUTOKA Simba. Akitoka mtamrudishia bilioni 20 zake au? Mtamrudishia wakati kishafanya biashara kipindi chote? Mtamrudishia yote au nusu?

MO kishasema kainunua Simba sasa mnamwambiaje atoke. Anatokaje kwenye kitu chake?
 
Mo kutoka simba labda muigawe simba 51% kwa 49%.
Nyie shinikizeni uongozi mpya
Try again na C.E.O wawapishe
Majula kwa football hawezi kabisa
Mo yuko mbali sana kwa kuanza kumhoji
Hela anatoa
CEO aulizwe yeye ndio mtendaji mkuu kuliko mo, try again na mangungu boy
 
Muda mwingine ni bora kuficha ukilaza wako, hivo ww Mo katumia billion 55 kufanyia nn simba?

Simba ina mikataba kibao ya kibiashara na makampuni alafu ishindwe kabisa kujiendesha hata 50% tu!!

Jezi za simba zimezagaa matangazo ya Mo mpaka matakoni, je analipa bei gn? hivi unajua Mo angetumia kiasi kwa mwaka kama angeamua kutangaza biashara zake nje ya simba? Ni pesa nyingi sana ila anakwambia anapata hasara!! Ki vp sasa? MO ni tapeli aachie nafasi wawekezaji wa kweli waje kuwekeza na sio kuleta uhuni wa kususa susa na uongo.
 
Kwa hiyo hakuna wawekezaji wengine hapo 5imba zaidi ya Mwamedi? Mwamedi atoke halafu tuone kama hakutatokea watu wakuweka hela nyingi hapo 5imba.
Mfano mtu gani huyo anayeweza kuweka pesa yake kirahisi hivyo? Nimeshakuwa kiongozi wa timu za Mpira. Udhamini ni mgumu sana mtu asikwambie.
 
Sheria hii haiwezi kufanya kazi kwenye club ya Simba kwa sababu wakati inatugwa tayari simba ilikuwa imeshampata Mo na kama unavyojua sheria ikitungwa haiwezi kurudi nyuma inaanzia hapo hapo
Hii Sheria inafanya kazi Simba. Kama hujui Simba ndio ilisababisha hii Sheria itungwe mwanzoni mo alitaka kupewa asilimia 51 baada ya malalamiko ikatungwa Sheria.
 
Mpira ni biashara, gsm kaonyesha hivyo mo akiondoka itakuwa fursa kwa watu wengine kujitokeza.
Jiulize wakati Sheria inasemaje wawekezaji wasiwe chini ya watatu kwanini anataka yeye peke yake awe mwekezaji.
Mkuu kama tunachukua Yanga kama reference naomba orodhesha wawekezaji watatu wa Yanga, najua GSM,hao wengine ni kina nani?
 
Back
Top Bottom