IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,362
- 6,274
Kama ni mali yake hapo hawezi kuiachia hivihiviSio awaachie tafuteni mteja afike bei, kanjibai alisema aliinunua.
luambano wa clouds fm jana usiku,kwenye kipindi chao cha michezo,kasema simba shida zote zinaletwa na mo,hivyo wanachama wameambiwa waamka wamtake mo ama atoe hela au awaachie timu
"wawekezaji wasiwe chini ya watatu", Samahani, hapa umenipa kitu nilichokuwa nakifahamu. Sasa naomba kufahamu zaidi, je sheria hii inafanya kazi hadi kwa Yanga? Kama ndiyo, naomba unitajie wawekezaji watatu ndani ya klabu ya Yanga!Mpira ni biashara, gsm kaonyesha hivyo mo akiondoka itakuwa fursa kwa watu wengine kujitokeza.
Jiulize wakati Sheria inasemaje wawekezaji wasiwe chini ya watatu kwanini anataka yeye peke yake awe mwekezaji.
Yanga mchakato wao haujakamilika hvyo hakuna mwekezaji yeyote aliyejitokeza."wawekezaji wasiwe chini ya watatu", Samahani, hapa umenipa kitu nilichokuwa nakifahamu. Sasa naomba kufahamu zaidi, je sheria hii inafanya kazi hadi kwa Yanga? Kama ndiyo, naomba unitajie wawekezaji watatu ndani ya klabu ya Yanga!
tukuachie timu mkuu uwekeze?maana unagundua sana matatizó inawezekana nakuyatatua utawezaTunavyowaambia Hapa matatizo makubwa matatu ya simba ni.
1 . UWEKEZAJI.
2. UONGOZI.
3. WACHEZAJI.
Hii Sheria inafanya kazi Hadi kwa yanga, wenyewe wamesema watatangaza utaratibu hivi karibuni na Mali za club hazitahusishwa."wawekezaji wasiwe chini ya watatu", Samahani, hapa umenipa kitu nilichokuwa nakifahamu. Sasa naomba kufahamu zaidi, je sheria hii inafanya kazi hadi kwa Yanga? Kama ndiyo, naomba unitajie wawekezaji watatu ndani ya klabu ya Yanga!
Sheria hii haiwezi kufanya kazi kwenye club ya Simba kwa sababu wakati inatugwa tayari simba ilikuwa imeshampata Mo na kama unavyojua sheria ikitungwa haiwezi kurudi nyuma inaanzia hapo hapoHii Sheria inafanya kazi Hadi kwa yanga, wenyewe wamesema watatangaza utaratibu hivi karibuni na Mali za club hazitahusishwa.
Du hatariKampuni zote za kihindi lazima kuwe na malalamiko ila wafanyakazi hawaachi kazi ...mhindi siku zote ana ajiri watu cheap
Kwani si alishanunua timu miaka 5 iliyopita?luambano wa clouds fm jana usiku,kwenye kipindi chao cha michezo,kasema simba shida zote zinaletwa na mo,hivyo wanachama wameambiwa waamka wamtake mo ama atoe hela au awaachie timu yao
Mfano mtu gani huyo anayeweza kuweka pesa yake kirahisi hivyo? Nimeshakuwa kiongozi wa timu za Mpira. Udhamini ni mgumu sana mtu asikwambie.Kwa hiyo hakuna wawekezaji wengine hapo 5imba zaidi ya Mwamedi? Mwamedi atoke halafu tuone kama hakutatokea watu wakuweka hela nyingi hapo 5imba.
Hii Sheria inafanya kazi Simba. Kama hujui Simba ndio ilisababisha hii Sheria itungwe mwanzoni mo alitaka kupewa asilimia 51 baada ya malalamiko ikatungwa Sheria.Sheria hii haiwezi kufanya kazi kwenye club ya Simba kwa sababu wakati inatugwa tayari simba ilikuwa imeshampata Mo na kama unavyojua sheria ikitungwa haiwezi kurudi nyuma inaanzia hapo hapo
Mkuu kama tunachukua Yanga kama reference naomba orodhesha wawekezaji watatu wa Yanga, najua GSM,hao wengine ni kina nani?Mpira ni biashara, gsm kaonyesha hivyo mo akiondoka itakuwa fursa kwa watu wengine kujitokeza.
Jiulize wakati Sheria inasemaje wawekezaji wasiwe chini ya watatu kwanini anataka yeye peke yake awe mwekezaji.