Luambano wa Clouds FM awashauri Simba kuachana na Mo Dewji

Nyie ni chawa mnaolipwa na.mo.kumtetea mitandaoni, ishu ni kuhusu uwekezaji wa mo Simba lakini mapovu yanavyokutoka utafikiri ni nyumba yake ndogo.
Siku zote watu wenye low brain capacity uwa hamjui kujenga hoja zaidi ya kutoa matusi! Wewe utakuwa ni wale zero brain sidhani hata shule ulipata chochote! Nimekuuliza maswali ya msingi baada ya kujibu unatoa matusi!! Shame idiot!
 
Mo angekua anatimiza wajibu wake timu isingekua hivyo
 
Mpira ni biashara, gsm kaonyesha hivyo mo akiondoka itakuwa fursa kwa watu wengine kujitokeza.
Jiulize wakati Sheria inasemaje wawekezaji wasiwe chini ya watatu kwanini anataka yeye peke yake awe mwekezaji.
Mpira ni biashara GSM kaonyesha, pumbavu kati ya Mo na GSM nani kamuonyesha mwenzake?
 
Hawa viongozi hata wakitoka simba ni ileile, shida hapa ni Mo hatoi hela na akitoa ni hela ndogo na hawa viongozi hawawezi sema ukweli kwa sababu mrija utakata. Pale juu kuna watu wanajua ukweli ila hawawezi sema mirija itakata.
Hapa wakudeal nae no Mo ndie anaeua timu.
 
Hawa ni chawa tu, ukweli wanaujua ila hawawezi sema mirija itakata
 
Mfumo wa uwekezaji Simba ulipaswa utengenezwe Mo akiwa nje, ila Mo kaichukua Simba ikiwa hoi alafu akailambisha hela kidogo alafu hapohapo akaweka wazo lake la kuwekeza huku asilimia 99 akiweka mawazo yake akijua fika mwishoni yeye atafaidi asilimia 100 huku club ikifa maskini.
Hata sasa kuna mashabiki bado hawaoni kwamba Mo ndio chanzo cha Simba kufanya vibaya.
 
Ametumia ujinga wao, mo kitu Cha kwanza kabisa alitaka apewe hati ya jengo wakati anajua fika jengo ni Mali ya wanachama na limepatikana kabla ya yeye kuja. Ameshinikizwa uwanja wa Bunju uitwe jina lake wakati umepatikana kabla ya yeye kuja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…