Lubuva anatangaza matokeo ya rais wa nchi gani ??

Wanasheria naomba msaada wenu kujua mwenyekiti wa tume ya uchaguzi anatangaza matokeo ya uchaguzi wa Tanganyika ama wa Tanzania ? Kama ni wa tanzania mbona uchaguzi wa Zanzibar ulishafutwa ??

Swali...

Je kuna uhalali wowote wa yeye kuendelea kutangaza matokeo wakati upande mmoja wa muungano umeshafuta matokeo yake ?? Ama haya matokeo anayoyatangaza ni ya uchaguzi wa Tanganyika tuu ??

Naomba msaada wenu wakuu maana uwelewa wangu ni mdogo kuhusu hili swala..

Jibu langu ni kwamba...ipo kasoro....lakini kasoro hizo zimefunikwa na technical part of the laws zinazo govern uchaguzi huu. nitajitahidi kuelezea ...lakini sina uhakika kam utaelewa...ukielewa vizuri...usipoelewa sio mbaya....jibu lipo kisheria zaidi(Na kwa mawazo yangu , linapingana na hali halisi ya znz)
Jibu ni hili kisheria
Nec wapo sahihi kutokusimamisha uchaguzi wa JMT kwa sababu
Sheria inayosimamia uchaguzi wa JMT ni tofauti na sheria inayosimamia uchaguzi wa znz.... kwa maana ya katiba ya 1977 na ya 1984
Sasa Kura za uraisi wa JMT zinasimamiwa na Nec na sio Zec.... na Nec wanasema kwa Kura za raisi wa JMT zilizopigwa znz hazina kasoro na zimesimamiwa na NEC na sio Zec na hazina malalamiko ( hapa ndipo sheria inapingana na facts at hand)
Kwa hiyo kura hizi hasihusiani kabisa kisheria na kura za znz. Kwamba...kura za uraisi wa zanzibar na wawakilishi wake ndio zinakasoro na Zec ndio yenye mamlaka nazo....wakati hizi za raisi wa JMT zimesimamiwa na NEC....na nec wanasema hazina kasoro....

Nimejitahadi kuelezea sijui kama umenielewa .
 
Haya yote yanayotokea ni dalili wazi za kuchoka kwa ccm. Madudu madudu tu.
N kulazimisha mambo kutawagharimu sana.
Hakuna ridhaaa ya wananchi kuongozwa na ccm.

Tangu Lubuva ameaanza kutangaza matokeo feki, sijakutana na zaidi ya watu 3 wanaofurahia au kushangilia.
Ninakutana na watanzania wanaosoneka kuwamba haki inapindishwa. Watanzania hawana raha kuona wanaongozwa na mtu mtu ambaye si chaguo lao.

Ndoa ya kulazimisha haina raha. Ni wawili wakubaliane.

ccm haina ridhaa ya watanzania wengi.
Hii ni hatari.
Hata huyo magufuli hatafurahia uraisi wake.
Hata wanaovaa manguo ya kijani nafsi zao zinawasuta kuwa wanafaulu mtihani kwa kuiba matokeo.
2+2=4 haiwezi kuwa 5 hata siku moja.

Majuto ni mjukuu. hilo ni lenu ccm.
 
Kwa hiyo wewe ulitaka uchaguzi wa bara nao urudiwe au NEC isubirie matokeo mapya ya Zanzibar ndo iendelee kutangaza matokeo ya bara?Jibu lako utalipata siku akiwa anaapishwa maanake watataja nchi atakayoiongoza.
 
Jibu langu ni kwamba...ipo kasoro....lakini kasoro hizo zimefunikwa na technical part of the laws zinazo govern uchaguzi huu. nitajitahidi kuelezea ...lakini sina uhakika kam utaelewa...ukielewa vizuri...usipoelewa sio mbaya....jibu lipo kisheria zaidi(Na kwa mawazo yangu , linapingana na hali halisi ya znz)
Jibu ni hili kisheria
Nec wapo sahihi kutokusimamisha uchaguzi wa JMT kwa sababu
Sheria inayosimamia uchaguzi wa JMT ni tofauti na sheria inayosimamia uchaguzi wa znz.... kwa maana ya katiba ya 1977 na ya 1984
Sasa Kura za uraisi wa JMT zinasimamiwa na Nec na sio Zec.... na Nec wanasema kwa Kura za raisi wa JMT zilizopigwa znz hazina kasoro na zimesimamiwa na NEC na sio Zec na hazina malalamiko ( hapa ndipo sheria inapingana na facts at hand)
Kwa hiyo kura hizi hasihusiani kabisa kisheria na kura za znz. Kwamba...kura za uraisi wa zanzibar na wawakilishi wake ndio zinakasoro na Zec ndio yenye mamlaka nazo....wakati hizi za raisi wa JMT zimesimamiwa na NEC....na nec wanasema hazina kasoro....

Nimejitahadi kuelezea sijui kama umenielewa .

Nimekuelewa mkuu... Ila huoni hapo kuna mgongano wa katiba pande zote mbili za muungano ??? Pili kama tume ya Zanzibar imesema Kulikuwa na udanganyifu ama uvurugaji wa matokeo uchaguzi huu kwa upande wa Zanzibar hauoni kuwa kutakuwa hakuna uhalali pia wa kura za rais ya JMT kwasababu kura zimepigwa na watu walewale ,siku ilele na kuhesabiwa na watu walewale ....embu nifafanunulie katiba yetu inasemaje hapa.

Nb

Mimi sijui sheria ni mkulima wa kawaida tu
 
Tutajifunza kitu lazima hapa.
 
Kwa hiyo wakati wa upigaji kura Zanzibar katika kila kituo kulikuwa na maafisa wa ZEC na maafisa wa NEC na hao wa NEC walikuwa na vituo vyao ndani ya vituo kiasi kwamba dosari zilizojitokeza katika kura za Zanzibar hazikuweza kuzihusisha zile zinazohusu Rais wa Jamhuri?
 
Ndio nilichomuuliza hata mimi
 
Nimekuelewa mkuu... Ila huoni hapo kuna mgongano wa katiba pande zote mbili za muungano ??? Pili kama tume ya Zanzibar imesema Kulikuwa na udanganyifu ama uvurugaji wa matokeo uchaguzi huu kwa upande wa Zanzibar hauoni kuwa kutakuwa hakuna uhalali pia wa kura za rais ya JMT kwasababu kura zimepigwa na watu walewale ,siku ilele na kuhesabiwa na watu walewale ....embu nifafanunulie katiba yetu inasemaje hapa.

Nb

Mimi sijui sheria ni mkulima wa kawaida tu

Mkuu nadhani hakuna mgongano...hapa kuna mgawanyo wa majukumu kikatiba... pili....ndio maana nimesema katika kukujibu kwangu...kuna kasoro..ipo...ila kwa macho ya kisheria kasoro hii imefichwa kwa kua kura zinazo lalamikiwa ni za URAISI WA ZNZ NA SI ZA JMT....wapiga kura ni walewale...kukuongezea uelewa wa swala hili...hebu pitia ibara hizi za katiba 74 (11-13) - ibara ya 74 kifungu kidogo cha 11 hadi cha 13.... ( soma kwa umakini....rudia jibu langu...lisome tena....alafu utaona mwenyewe kinachoendelea...na kwa nini tume itakua ipo sahihi kisheria...)
 
Tumechoka na ishu za uchaguzi yanii nna hasira hela haziingii biashara zimesimama leo mwisho bana kieleweke mshindi ameshinda apewe aliyeshindwa Atulie akubali kushindwa
 
Haya yote yanayotokea ni dalili wazi za kuchoka kwa ccm. Madudu madudu tu.
N kulazimisha mambo kutawagharimu sana.
Hakuna ridhaaa ya wananchi kuongozwa na ccm.

Tangu Lubuva ameaanza kutangaza matokeo feki, sijakutana na zaidi ya watu 3 wanaofurahia au kushangilia.
Ninakutana na watanzania wanaosoneka kuwamba haki inapindishwa. Watanzania hawana raha kuona wanaongozwa na mtu mtu ambaye si chaguo lao.

Ndoa ya kulazimisha haina raha. Ni wawili wakubaliane.

ccm haina ridhaa ya watanzania wengi.
Hii ni hatari.
Hata huyo magufuli hatafurahia uraisi wake.
Hata wanaovaa manguo ya kijani nafsi zao zinawasuta kuwa wanafaulu mtihani kwa kuiba matokeo.
2+2=4 haiwezi kuwa 5 hata siku moja.

Majuto ni mjukuu. hilo ni lenu ccm.

Kama ni hivyo vipi kuhusu Wabunge wa ukawa walioshinda uchaguzi? Unaliongelea vipi hili?
Tena kuna Mawaziri na watu maarufu wengi wa CCM wamepoteza Ubunge kama mama Kilango, Mtemvu, Kapuya, Wasira, Azan (Kinondoni) n.k au wao hawakuibiwa kura? Na kwa nini?
Au wewe neno haki kwako ni la upande mmoja tu? Yaani ni lazima Mgombea wako ashinde asiposhinda kaibiwa kura?

Mbona Magufuli alikuwa anajaza watu wengi sana kwenye Mikutano yake hasa ule wa Mwisho pale Mwanza mpaka watu walikosa nafasi na wengine walikuwa nje ya uwanja kufwatilia, Je unafikiri hawa wote kama wangekuwa hawaitaki CCM wangeenda kumsikiliza Magufuli? na Unafikiri hawakumpigia kura?
 
Kwa hiyo wakati wa upigaji kura Zanzibar katika kila kituo kulikuwa na maafisa wa ZEC na maafisa wa NEC na hao wa NEC walikuwa na vituo vyao ndani ya vituo kiasi kwamba dosari zilizojitokeza katika kura za Zanzibar hazikuweza kuzihusisha zile zinazohusu Rais wa Jamhuri?
Kwa uelewa wangu....Zec ni wakala wa Nec kwa uchaguzi wa raisi wa JMT kule zanzibar.....na hicho ndicho kinachoelezwa na Nec kwamba kura za raisi wA JMT kule zzb hazina shida...hayo ndo majibu yao.
 
ZANZIBAR: JE INAWEZEKANAJE KURA ZA RAIS WA ZANZ NA WAWAKILISH ZIWE BATILI NA ZILE ZA RAIS WA JMT NA MBUNGE ZIWE HALALI?

Katika uchaguzi wa Zanziba, utaratibu ni kwamba Watanzania Zanzibar wanapiga kura 5, yaani Rais wa Zanz, Mwakilishi na diwani. Pia wanapiga kura ya Rais wa JMT na Mbunge.

Kwenye kituo cha kupigia kura kuna meza 2. Moja ni ya tume ya uchaguzi Zanzibar (ZEC) na nyingine ni ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).

Meza ya NEC ina watumishi wake na Meza ya ZEC ina watumishi wake.

Watumishi wa NEC wanaripoti moja kwa moja kwa NEC na watumishi wa ZEC wanaripoti moja kwa moja kwa ZEC,

Meza ya ZEC inashughulikia uchaguzi wa Rais wa Zanz, Mwakilishi na Diwani na Meza ya NEC inashughulikia uchaguzi wa Rais wa JMT na Mbunge,

ZEC wanaongozwa na katiba ya Zanzibar ya 1984 na NEC wanaongozwa na Katiba ya Tanzania ya 1987,

Pia vyama vya siasa wanaweka mawakala wa aina mbili, moja kwenye meza ya NEC na pili kwenye meza ya ZEC,

Hata katika kuhesabu kura hawa watu hawaingilian, ZEC na mawakala wao wanahesabu kura zao na NEC na mawakala wao wanahesabu kura zao.

Pia kuna ballot boxes tofauti. Zipo za ZEC na NEC.

Mzanzibar anapokwenda kupiga kura kwanza anakwenda kwenye meza ya ZEC, anatoa kitambulisho na anapewa kura tatu, Rais wa Zanz, Mwakilishi na Diwani. Anapiga kura na anapakwa wino kidole kimoja.

Baada ya hapo anakwenda kwenye Meza ya NEC anapewa kura 2, Rais wa JMT na Mbunge. Anapiga kura na kuzitumbukiza kwenye mabox ya NEC ambayo ni tofauti na yale ya ZEC.

Wakati wa kuhesabau hawa watu hawaingilini.

Kwa hiyo kasoro katila kura za ZEC, hasa kuongezeka kwa idadi ya wapiga kura tofauti na wale waliojiandikisha bila kuathili kura za NEC ni kutokana na kuingiliana katila majukumu yao.

Udanganyifu umefanyika kwenye meza ya ZEC ndiyo maana walibaini hizo kasoro walipokuwa wanahakiki lakini kwenye meza ya NEC hapakuwa na udanganyifu wowote ndiyo maana hapakuwa na kasoro zozote zilizobainika.

Swali; Anayepiga kura ZEC, ndiyo yule anayepiga kura NEC. Kwa nini idadi iongezeke ZEC halagu NEC idadi ya wapiga kura isiongezeke.

Jibu ni kwamba, siyo lazima udanganyifu ufanyike kwa kuongezeka kwa idadi ya wapiga kura, la hasha! Kuna uwezekano wa wapiga kura wakaingia na kura fake na wakafanikiwa kupiga kura zaid ya moja kwa upande wa viongozi wa Zanzibar lakini wanapokwenda meza ya NEC wasifanye huo udanganyifu.

Pili Watumishi wa ZEC wanaweza kutoa balot paper zaidi ya moja kwa mpiga kura kwa lengo la kufanya udanganyifu kwa lengo la kupendelea wagombea wa chama fulani, na watumishi wa NEC wasifanye huo idanganyifu,

Tatu udanganyifu unaweza kufanyika wakati wa kuhesabu kura na kwa upande wa ZEC wakaongeza idadi ya kura lakini upande wa NEC wasifanye hivyo.

KWA HIYO, kutokana na hayo, ni dhahiri kwamba KASORO ZILIZOJITOKEZA KWENYE MATOKEO YA UCHAGUZI WA ZEC HAZIJAATHIRI MATOKEO YA KURA ZA NEC.
 
Lubuver na tume yake sijui wanatoka Sengerema. Maana Kila mzanzibari alipiga kura tano, Sheha, Mwakilishi, Mbunge wa Muungano,Rais wa Zanzibar na Rais wa Jamhuri ya Muungano. Kura zote alipiga siku moja, kituo kimoja na kwa kadi moja. Sasa kama matokeo ya Sheha, Mwakilishi, Mbunge wa Muungano na Rais wa Zanzibar ni batili sasa yale ya Uraisi wa muungano yanaendeleaje kuwa halali kama baadhi ya dosari alizosema Jecha zilijitokeza vituoni?
Umefafanua vizuri sana
 
ZANZIBAR: JE INAWEZEKANAJE KURA ZA RAIS WA ZANZ NA WAWAKILISH ZIWE BATILI NA ZILE ZA RAIS WA JMT NA MBUNGE ZIWE HALALI?

Katika uchaguzi wa Zanziba, utaratibu ni kwamba Watanzania Zanzibar wanapiga kura 5, yaani Rais wa Zanz, Mwakilishi na diwani. Pia wanapiga kura ya Rais wa JMT na Mbunge.

Kwenye kituo cha kupigia kura kuna meza 2. Moja ni ya tume ya uchaguzi Zanzibar (ZEC) na nyingine ni ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).

Meza ya NEC ina watumishi wake na Meza ya ZEC ina watumishi wake.

Watumishi wa NEC wanaripoti moja kwa moja kwa NEC na watumishi wa ZEC wanaripoti moja kwa moja kwa ZEC,

Meza ya ZEC inashughulikia uchaguzi wa Rais wa Zanz, Mwakilishi na Diwani na Meza ya NEC inashughulikia uchaguzi wa Rais wa JMT na Mbunge,

ZEC wanaongozwa na katiba ya Zanzibar ya 1984 na NEC wanaongozwa na Katiba ya Tanzania ya 1987,

Pia vyama vya siasa wanaweka mawakala wa aina mbili, moja kwenye meza ya NEC na pili kwenye meza ya ZEC,

Hata katika kuhesabu kura hawa watu hawaingilian, ZEC na mawakala wao wanahesabu kura zao na NEC na mawakala wao wanahesabu kura zao.

Pia kuna ballot boxes tofauti. Zipo za ZEC na NEC.

Mzanzibar anapokwenda kupiga kura kwanza anakwenda kwenye meza ya ZEC, anatoa kitambulisho na anapewa kura tatu, Rais wa Zanz, Mwakilishi na Diwani. Anapiga kura na anapakwa wino kidole kimoja.

Baada ya hapo anakwenda kwenye Meza ya NEC anapewa kura 2, Rais wa JMT na Mbunge. Anapiga kura na kuzitumbukiza kwenye mabox ya NEC ambayo ni tofauti na yale ya ZEC.

Wakati wa kuhesabau hawa watu hawaingilini.

Kwa hiyo kasoro katila kura za ZEC, hasa kuongezeka kwa idadi ya wapiga kura tofauti na wale waliojiandikisha bila kuathili kura za NEC ni kutokana na kuingiliana katila majukumu yao.

Udanganyifu umefanyika kwenye meza ya ZEC ndiyo maana walibaini hizo kasoro walipokuwa wanahakiki lakini kwenye meza ya NEC hapakuwa na udanganyifu wowote ndiyo maana hapakuwa na kasoro zozote zilizobainika.

Swali; Anayepiga kura ZEC, ndiyo yule anayepiga kura NEC. Kwa nini idadi iongezeke ZEC halagu NEC idadi ya wapiga kura isiongezeke.

Jibu ni kwamba, siyo lazima udanganyifu ufanyike kwa kuongezeka kwa idadi ya wapiga kura, la hasha! Kuna uwezekano wa wapiga kura wakaingia na kura fake na wakafanikiwa kupiga kura zaid ya moja kwa upande wa viongozi wa Zanzibar lakini wanapokwenda meza ya NEC wasifanye huo udanganyifu.

Pili Watumishi wa ZEC wanaweza kutoa balot paper zaidi ya moja kwa mpiga kura kwa lengo la kufanya udanganyifu kwa lengo la kupendelea wagombea wa chama fulani, na watumishi wa NEC wasifanye huo idanganyifu,

Tatu udanganyifu unaweza kufanyika wakati wa kuhesabu kura na kwa upande wa ZEC wakaongeza idadi ya kura lakini upande wa NEC wasifanye hivyo.

KWA HIYO, kutokana na hayo, ni dhahiri kwamba KASORO ZILIZOJITOKEZA KWENYE MATOKEO YA UCHAGUZI WA ZEC HAZIJAATHIRI MATOKEO YA KURA ZA NEC.

Mkuu...asante kwa elimu nzuri...
 
Matokeo ni ya jamhuri ya Muungano wa Tz,yalofutwa ni ya zenj hayana uhusiano kabisaaa wasimamizi tofauti,vitambulisho tofauti daftari la wapiga kura tofauti na mamlaka zilizosimamia ni tofauti
 
Back
Top Bottom