He is the reason why madrid won UEFA CL and he was the reason why Croatia reached worldcup finale .Naona kama wamempendelea au sababu simfatilii??
Nilitamani achukue Cr7
Bado naona kama wamembeba....Nimeona sehemu wamemchambua yeye na Cr7...kwa uchambuzi ule naona Ronaldo alifaa nikiuona tena nitapaste hapa.He is the reason why madrid won UEFA CL and he was the reason why Croatia reached worldcup finale .
Mchambuzi anaweza kuwa biased.Bado naona kama wamembeba....Nimeona sehemu wamemchambua yeye na Cr7...kwa uchambuzi ule naona Ronaldo alifaa nikiuona tena nitapaste hapa.
Mkuu binafsi nilitamani hii tuzo kwa mwaka huu apewe mtu tofauti. Siyo kila siku Messi au Ronaldo. While kuna wachezaji wenye bidii kwenye timu kuliko wao.Toa vigezo
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Mchambuzi anaweza kuwa biased.
Ronaldo alishindwa kuipeleka Team yake ya Taifa fainali.
Luka ameweza
Kabisa Mkuu.Huyo Martha wa Brazil naona kwa Wanawake hana Mpinzani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uwii umenichekeshaTunataka uchambuzi wako mwalimu kashasha
Mbape alipo pale inaweza iwe ngumu.. Angekua anakipiga Madrid ningempa nafasi