Luca Modric atwaa uchezaji bora wa dunia

Luca Modric atwaa uchezaji bora wa dunia

Tunzo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
4,082
Reaction score
2,402
kwanza nitoa pongezi kwa Luca Modric kwa kuwatoa hawa jamaa wawili waliotawala hizi tuzo miaka kumi sasa!

Mwaka huu hakuna cha Ronldo wama Mesi! mtu mzima kwachukua!
Mesi alienguliwa kabla ya tatu bora! Ronaldo hakuhudhuria Tuzo hizo kwa sababu zisizokua na msingi, nadhani hii ni kwasababu alijua hawezi kumpiku Luca Modric na akaamua kususa!
Dah sijui Ronaldo angechukua ingekuaje humu duniani kwa mashabiki wa Ronaldo na Mesi!

Utabiri wangu Tuzo ijayo itaenda kwa Mesi, na hii ni kwasababu Mesi ameshaanza vitu vyake, Ronaldo jua limeshazama,
Screenshot_20180925-081229.jpeg
IMG-20180924-WA0005.jpeg
 
Bado naona kama wamembeba....Nimeona sehemu wamemchambua yeye na Cr7...kwa uchambuzi ule naona Ronaldo alifaa nikiuona tena nitapaste hapa.
Tunataka uchambuzi wako mwalimu kashasha
 
Bado naona kama wamembeba....Nimeona sehemu wamemchambua yeye na Cr7...kwa uchambuzi ule naona Ronaldo alifaa nikiuona tena nitapaste hapa.
Mchambuzi anaweza kuwa biased.
Ronaldo alishindwa kuipeleka Team yake ya Taifa fainali.
Luka ameweza
 
Major congrats to Modric. He deserve.Tuzo ijayo kwa Mbappe. Time will tell.
 
Yap. I agee with you Bro. Angetoka kule alipo Mwakani angeweza kuchukua huyu. But unamuonaje kijana wetu Kante Palapalapa.
Mbape alipo pale inaweza iwe ngumu.. Angekua anakipiga Madrid ningempa nafasi
 
Back
Top Bottom