Tunzo
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 4,082
- 2,402
kwanza nitoa pongezi kwa Luca Modric kwa kuwatoa hawa jamaa wawili waliotawala hizi tuzo miaka kumi sasa!
Mwaka huu hakuna cha Ronldo wama Mesi! mtu mzima kwachukua!
Mesi alienguliwa kabla ya tatu bora! Ronaldo hakuhudhuria Tuzo hizo kwa sababu zisizokua na msingi, nadhani hii ni kwasababu alijua hawezi kumpiku Luca Modric na akaamua kususa!
Dah sijui Ronaldo angechukua ingekuaje humu duniani kwa mashabiki wa Ronaldo na Mesi!
Utabiri wangu Tuzo ijayo itaenda kwa Mesi, na hii ni kwasababu Mesi ameshaanza vitu vyake, Ronaldo jua limeshazama,