Lucas Mwampiki, na Hussein Wasoha Madiwani wa Chadema Mkoa wa Mbeya wamehamia CCM

Nigrastratatract nerve

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2019
Posts
1,524
Reaction score
4,477
Wakati tunaendelea kupata taarifa za hukumu kutoka Mahakama ya Kisutu

Napokea taarifa kutoka Mbeya kuwa Madiwani wawili wa CHADEMA, Lucas Mwampiki wa Kata ya Mwakibete ambaye pia alikuwa mwenyekiti wa madiwani wa Chadema mbeya pamoja na Ndugu Hussein Wasoha ambaye alikuwa diwani wa kata ya Itagano wamejivua nyadhifa zao na kutangaza kujiunga na Chama cha Mapinduzi CCM.
 
Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja?
P
 
Hii movie mmeitengeneza faster kujaribu kuzima tukio la jana Kisutu; mmefeli, ule umoja uliooneshwa kuwapa support kina Mbowe hamkuutegemea, endeleeni kuimba CHADEMA inakufa!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati tunaendelea kupata taarifa za hukumu kutoka Mahakama ya Kisutu

Napokea taarifa kutoka Mbeya kuwa Madiwani wawili wa CHADEMA, Lucas Mwampiki wa Kata ya Mwakibete ambaye pia alikuwa mwenyekiti wa madiwani wa Chadema mbeya pamoja na Ndugu Hussein Wasoha ambaye alikuwa diwani wa kata ya Itagano wamejivua nyadhifa zao na kutangaza kujiunga na Chama cha Mapinduzi CCM.
Kodi zetu zinatumika kimalaya sana
FB_IMG_1583215115657.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaona mbali kivipi? Je hayo majimbo yatakaporejeshwa na wao watarejeshwa?
Yes ndio the enticing mechanism kuwa ukijiuzulu, utasimamishwa wewe, na huko ndiko kuona mbali kwenyewe, kwa opposition wote ambao kwao politics is a full time job, then wanajua mwisho wa kibarua chao ni Bunge litakapo vunjwa, hivyo kuliko kusubiri Bunge livunjwe, na kuriski kupoteza wakiwa kwenye fungu la kukosa, hivyo wamechagua fungu la kupata.

Kama CCM itafanikiwa kuwapa nafasi za kugombea asilimia 25 tu ya waunga juhudi, basi Magu atakuwa amefanikiwa 'kuifuta' CCM na 'kusajiri' chama kipya juu ya CCM.
Maana waungaji mkono wote ni wale 'potentials'.

Kama kabla ya uungwaji mkono aliona wana CCM walio active wengi hawamfai kwenye serikali yake kiàsi cha kuamua kuteua wabunge ili kuwapa nafasi serikalini, pia akalazimika kumstaafisha mteule mmoja wa nafasi ya ubunge na kumpangia ubalozi ili ateue mbunge mpya na kumpatia uwaziri, hapo ujue CCM imekwisha.

Vijana wengi wa CCM aliowaweka kwenye nafasi za ukuu wa mikoa na wilaya ni kama amewaweka kwenye quarantine kuona kama wanaweza wakapona 'malazi' yao.

Kama atarudi mhula wa pili wengi atawapoteza. Maana hata yeye hawatamfaa baada ya utawala wake, huenda wakageuka kuwa silaha mbaya sana dhidi yake, hivyo kwa sasa anawahesabu tu na wao wanazidi kujianika.

Kuna watu wao wameumbwa ku side na mwenye power tu, ukipoteza power hutaamini watakavyo kugeika. Tumeyaona haya na tunaendelea kuyaona
 
Kama Magu aliona wana CCM walio active wengi hawamfai kwenye serikali yake kiàsi cha kuamua kuteua wabunge ili kuwapa nafasi serikalini, pia akalazimika kumstaafisha mteule mmoja wa nafasi ya ubunge na kumpangia ubalozi ili ateue mbunge mpya na kumpatia uwaziri, hapo ujue CCM imekwisha.
Kwenye hili la kumteua Posi ubunge kisha kumtengua na kumpeleka ubalozini, sio kwasababu hafai, bali kulifanyika kosa la kikatiba kwa washauri wake vilaza, kufuatia uvilaza wa kikatiba, wakashindwa kumpatia rais ushauri sahihi, tena ni sisi humu jf ndio tulilipua hili, katika nafasi zake 10 za uteuzi, wabunge 5 au zaidi lazima wawe wanawake, yeye aliteua wanaume 6, hivyo ilikuwa kinyume cha takwa la kikatiba, hivyo akalazimika kumtengua mmoja, ndipo akamtengua Posi na kumpooza.
P
 
Wakati tunaendelea kupata taarifa za hukumu kutoka Mahakama ya Kisutu

Napokea taarifa kutoka Mbeya kuwa Madiwani wawili wa CHADEMA, Lucas Mwampiki wa Kata ya Mwakibete ambaye pia alikuwa mwenyekiti wa madiwani wa Chadema mbeya pamoja na Ndugu Hussein Wasoha ambaye alikuwa diwani wa kata ya Itagano wamejivua nyadhifa zao na kutangaza kujiunga na Chama cha Mapinduzi CCM.
Yote maisha mbona nyumba hii kuna msiba nyumba inafuata kuna harusi wakitaka Wajiunge hata na Republican cha Trump

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati tunaendelea kupata taarifa za hukumu kutoka Mahakama ya Kisutu

Napokea taarifa kutoka Mbeya kuwa Madiwani wawili wa CHADEMA, Lucas Mwampiki wa Kata ya Mwakibete ambaye pia alikuwa mwenyekiti wa madiwani wa Chadema mbeya pamoja na Ndugu Hussein Wasoha ambaye alikuwa diwani wa kata ya Itagano wamejivua nyadhifa zao na kutangaza kujiunga na Chama cha Mapinduzi CCM.
hii siyo habari.
habari ni ile inayoongelea kilichotokea kwa binadamu na si kwa hizo bidhaa ulizozitaja!
 
Yes ndio the enticing mechanism kuwa ukijiuzulu, utasimamishwa wewe, na huko ndiko kuona mbali kwenyewe, kwa opposition wote ambao kwao politics is a full time job, then wanajua mwisho wa kibarua chao ni Bunge litakapo vunjwa, hivyo kuliko kusubiri Bunge livunjwe, na kuriski kupoteza wakiwa kwenye fungu la kukosa, hivyo wamechagua fungu la kupata.
P
Hawawezi kukuelewa hawa mavuvuzela wafuata upepo wanadanganywa kila siku wakati wenzao siasa ajira.
 
kiukweli kbs kuna wakati mwanzo wa utawala huu nilikuwa namkubali Ngosha ila bdae kdg nilipoona anaukandamiza sana upinzani & kuuhujumu nilimchukia mazima.

Na kura yangu oktoba hatapata ingawa najua atapita kibabe!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wache waende
Wakati tunaendelea kupata taarifa za hukumu kutoka Mahakama ya Kisutu

Napokea taarifa kutoka Mbeya kuwa Madiwani wawili wa CHADEMA, Lucas Mwampiki wa Kata ya Mwakibete ambaye pia alikuwa mwenyekiti wa madiwani wa Chadema mbeya pamoja na Ndugu Hussein Wasoha ambaye alikuwa diwani wa kata ya Itagano wamejivua nyadhifa zao na kutangaza kujiunga na Chama cha Mapinduzi CCM.

Jr[emoji769]
 
ngoja na wao wale hizo hela...
 
Back
Top Bottom