Lucas Mwampiki, na Hussein Wasoha Madiwani wa Chadema Mkoa wa Mbeya wamehamia CCM

Lucas Mwampiki, na Hussein Wasoha Madiwani wa Chadema Mkoa wa Mbeya wamehamia CCM

Kama CCM itafanikiwa kuwapa nafasi za kugombea asilimia 25 tu ya waunga juhudi, basi Magu atakuwa amefanikiwa 'kuifuta' CCM na 'kusajiri' chama kipya juu ya CCM.
Maana waungaji mkono wote ni wale 'potentials'.

Kama kabla ya uungwaji mkono aliona wana CCM walio active wengi hawamfai kwenye serikali yake kiàsi cha kuamua kuteua wabunge ili kuwapa nafasi serikalini, pia akalazimika kumstaafisha mteule mmoja wa nafasi ya ubunge na kumpangia ubalozi ili ateue mbunge mpya na kumpatia uwaziri, hapo ujue CCM imekwisha.

Vijana wengi wa CCM aliowaweka kwenye nafasi za ukuu wa mikoa na wilaya ni kama amewaweka kwenye quarantine kuona kama wanaweza wakapona 'malazi' yao.

Kama atarudi mhula wa pili wengi atawapoteza. Maana hata yeye hawatamfaa baada ya utawala wake, huenda wakageuka kuwa silaha mbaya sana dhidi yake, hivyo kwa sasa anawahesabu tu na wao wanazidi kujianika.

Kuna watu wao wameumbwa ku side na mwenye power tu, ukipoteza power hutaamini watakavyo kugeika. Tumeyaona haya na tunaendelea kuyaona
Niliongea haya mwezi March, kama wangechukua ushauri huu basi hivi sasa wangekuwa salama kabisa.
 
Back
Top Bottom