Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,524
- 4,477
Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja?Wakati tunaendelea kupata taarifa za hukumu kutoka Mahakama ya Kisutu
Napokea taarifa kutoka Mbeya kuwa Madiwani wawili wa CHADEMA, Lucas Mwampiki wa Kata ya Mwakibete ambaye pia alikuwa mwenyekiti wa madiwani wa Chadema mbeya pamoja na Ndugu Hussein Wasoha ambaye alikuwa diwani wa kata ya Itagano wamejivua nyadhifa zao na kutangaza kujiunga na Chama cha Mapinduzi CCM.
Kodi zetu zinatumika kimalaya sanaWakati tunaendelea kupata taarifa za hukumu kutoka Mahakama ya Kisutu
Napokea taarifa kutoka Mbeya kuwa Madiwani wawili wa CHADEMA, Lucas Mwampiki wa Kata ya Mwakibete ambaye pia alikuwa mwenyekiti wa madiwani wa Chadema mbeya pamoja na Ndugu Hussein Wasoha ambaye alikuwa diwani wa kata ya Itagano wamejivua nyadhifa zao na kutangaza kujiunga na Chama cha Mapinduzi CCM.
Wanaona mbali kivipi? Je hayo majimbo yatakaporejeshwa na wao watarejeshwa?
Yes ndio the enticing mechanism kuwa ukijiuzulu, utasimamishwa wewe, na huko ndiko kuona mbali kwenyewe, kwa opposition wote ambao kwao politics is a full time job, then wanajua mwisho wa kibarua chao ni Bunge litakapo vunjwa, hivyo kuliko kusubiri Bunge livunjwe, na kuriski kupoteza wakiwa kwenye fungu la kukosa, hivyo wamechagua fungu la kupata.Wanaona mbali kivipi? Je hayo majimbo yatakaporejeshwa na wao watarejeshwa?
Yes ndio the enticing mechanism kuwa ukijiuzulu, utasimamishwa wewe, na huko ndiko kuona mbali kwenyewe, kwa opposition wote ambao kwao politics is a full time job, then wanajua mwisho wa kibarua chao ni Bunge litakapo vunjwa, hivyo kuliko kusubiri Bunge livunjwe, na kuriski kupoteza wakiwa kwenye fungu la kukosa, hivyo wamechagua fungu la kupata.
P
Kwenye hili la kumteua Posi ubunge kisha kumtengua na kumpeleka ubalozini, sio kwasababu hafai, bali kulifanyika kosa la kikatiba kwa washauri wake vilaza, kufuatia uvilaza wa kikatiba, wakashindwa kumpatia rais ushauri sahihi, tena ni sisi humu jf ndio tulilipua hili, katika nafasi zake 10 za uteuzi, wabunge 5 au zaidi lazima wawe wanawake, yeye aliteua wanaume 6, hivyo ilikuwa kinyume cha takwa la kikatiba, hivyo akalazimika kumtengua mmoja, ndipo akamtengua Posi na kumpooza.Kama Magu aliona wana CCM walio active wengi hawamfai kwenye serikali yake kiàsi cha kuamua kuteua wabunge ili kuwapa nafasi serikalini, pia akalazimika kumstaafisha mteule mmoja wa nafasi ya ubunge na kumpangia ubalozi ili ateue mbunge mpya na kumpatia uwaziri, hapo ujue CCM imekwisha.
Yote maisha mbona nyumba hii kuna msiba nyumba inafuata kuna harusi wakitaka Wajiunge hata na Republican cha TrumpWakati tunaendelea kupata taarifa za hukumu kutoka Mahakama ya Kisutu
Napokea taarifa kutoka Mbeya kuwa Madiwani wawili wa CHADEMA, Lucas Mwampiki wa Kata ya Mwakibete ambaye pia alikuwa mwenyekiti wa madiwani wa Chadema mbeya pamoja na Ndugu Hussein Wasoha ambaye alikuwa diwani wa kata ya Itagano wamejivua nyadhifa zao na kutangaza kujiunga na Chama cha Mapinduzi CCM.
hii siyo habari.Wakati tunaendelea kupata taarifa za hukumu kutoka Mahakama ya Kisutu
Napokea taarifa kutoka Mbeya kuwa Madiwani wawili wa CHADEMA, Lucas Mwampiki wa Kata ya Mwakibete ambaye pia alikuwa mwenyekiti wa madiwani wa Chadema mbeya pamoja na Ndugu Hussein Wasoha ambaye alikuwa diwani wa kata ya Itagano wamejivua nyadhifa zao na kutangaza kujiunga na Chama cha Mapinduzi CCM.
Hawawezi kukuelewa hawa mavuvuzela wafuata upepo wanadanganywa kila siku wakati wenzao siasa ajira.Yes ndio the enticing mechanism kuwa ukijiuzulu, utasimamishwa wewe, na huko ndiko kuona mbali kwenyewe, kwa opposition wote ambao kwao politics is a full time job, then wanajua mwisho wa kibarua chao ni Bunge litakapo vunjwa, hivyo kuliko kusubiri Bunge livunjwe, na kuriski kupoteza wakiwa kwenye fungu la kukosa, hivyo wamechagua fungu la kupata.
P
Wakati tunaendelea kupata taarifa za hukumu kutoka Mahakama ya Kisutu
Napokea taarifa kutoka Mbeya kuwa Madiwani wawili wa CHADEMA, Lucas Mwampiki wa Kata ya Mwakibete ambaye pia alikuwa mwenyekiti wa madiwani wa Chadema mbeya pamoja na Ndugu Hussein Wasoha ambaye alikuwa diwani wa kata ya Itagano wamejivua nyadhifa zao na kutangaza kujiunga na Chama cha Mapinduzi CCM.
ngoja na wao wale hizo hela...Wakati tunaendelea kupata taarifa za hukumu kutoka Mahakama ya Kisutu