Jibu swali uliloulizwaAcha kuota ndoto Utafikiri umelewa Gongo. CCM Itaongoza Taifa letu mpaka mwisho wa Dunia. Urais Unashikwa na mtu Mwenye Akili Timamu.
Majibu ni kuwa kamwe na katu Lissu hawezi Kuwa RAIS wa Nchi hii. Kwa hiyo mfano wa mtoa mada Hauna uhalisia.Jibu swali uliloulizwa
Nasubiri majibuSuppose Lisu anakuwa Rais, anateua tume ya uchaguzi yenye wajumbe hawa, UTAKUBALI? BE HONEST
1. Lema
2. Mbowe
3. Boni Yai
4. Mnyika
5. Heche
6. Martin maranje masese
7. Brenda
8. Erythrocyte
9. Retired
to mention but a few
.
Lucas Mwashambwa Spunda hebu njoo hukuSuppose Lisu anakuwa Rais, anateua tume ya uchaguzi yenye wajumbe hawa, UTAKUBALI? BE HONEST
1. Lema
2. Mbowe
3. Boni Yai
4. Mnyika
5. Heche
6. Martin maranje masese
7. Brenda
8. Erythrocyte
9. Retired
to mention but a few
.
Jibu lako haliendani na Aina ya swali .Majibu ni kuwa kamwe na katu Lissu hawezi Kuwa RAIS wa Nchi hii. Kwa hiyo mfano wa mtoa mada Hauna uhalisia.
Soma bold apo juuSuppose Lisu anakuwa Rais, anateua tume ya uchaguzi yenye wajumbe hawa, UTAKUBALI? BE HONEST
1. Lema
2. Mbowe
3. Boni Yai
4. Mnyika
5. Heche
6. Martin maranje masese
7. Brenda
8. Erythrocyte
9. Retired
to mention but a few
.
Raisi wa sasa ana hivyo vigezo??Acha kuota ndoto Utafikiri umelewa Gongo. CCM Itaongoza Taifa letu mpaka mwisho wa Dunia. Urais Unashikwa na mtu Mwenye Akili Timamu.
Nimefika muda mrefu sana hapa kusoma andiko lisilo na uhalisia. Kuna watu wanafikiria kuwa hata Machizi wanaweza kuwa Ma Rais.Lucas Mwashambwa Spunda hebu njoo huku
Huyu kapuku na kilaza hana uwezo hata wa kufikiri, yeye akili yake inatosha kumsifia Samia na kwendea chooni tu.Suppose Lisu anakuwa Rais, anateua tume ya uchaguzi yenye wajumbe hawa, UTAKUBALI? BE HONEST
1. Lema
2. Mbowe
3. Boni Yai
4. Mnyika
5. Heche
6. Martin maranje masese
7. Brenda
8. Erythrocyte
9. Retired
to mention but a few
.
Jibu lako haliendani na Aina ya swali .
Soma bold apo juu
Hana majibu huyo popoma.Suppose Lisu anakuwa Rais, anateua tume ya uchaguzi yenye wajumbe hawa, UTAKUBALI? BE HONEST
1. Lema
2. Mbowe
3. Boni Yai
4. Mnyika
5. Heche
6. Martin maranje masese
7. Brenda
8. Erythrocyte
9. Retired
to mention but a few
.