Joshua Mbezi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,994
- 4,446
Huyu Mwashambwa wenu akili zake ni kama za mzee Ashimu Rungwe
Hana analowaza lenye tija kwa taifa zaidi ya uchawa
Hana analowaza lenye tija kwa taifa zaidi ya uchawa
Suppose Lisu anakuwa Rais, anateua tume ya uchaguzi yenye wajumbe hawa, UTAKUBALI? BE HONEST
1. Lema
2. Mbowe
3. Boni Yai
4. Mnyika
5. Heche
6. Martin maranje masese
7. Brenda
8. Erythrocyte
9. Retired
to mention but a few
.
Acha kuota ndoto Utafikiri umelewa Gongo. CCM Itaongoza Taifa letu mpaka mwisho wa Dunia. Urais Unashikwa na mtu Mwenye Akili Timamu.
Mnyikq is well balancedSuppose Lisu anakuwa Rais, anateua tume ya uchaguzi yenye wajumbe hawa, UTAKUBALI? BE HONEST
1. Lema
2. Mbowe
3. Boni Yai
4. Mnyika
5. Heche
6. Martin maranje masese
7. Brenda
8. Erythrocyte
9. Retired
to mention but a few
.
Nimefika muda mrefu sana hapa kusoma andiko lisilo na uhalisia. Kuna watu wanafikiria kuwa hata Machizi wanaweza kuwa Ma Rais.
matusi ya nini? jibu hoja . sitaki kukujibu ki mafia, next timeAcha kuota ndoto Utafikiri umelewa Gongo
Huna hoja.matusi ya nini? jibu hoja . sitaki kukujibu ki mafia, next time
Mimi siyo chawaHuyu Mwashambwa wenu akili zake ni kama za mzee Ashimu Rungwe
Hana analowaza lenye tija kwa taifa zaidi ya uchawa
Lucas Mwashambwa yupo busy na sherehe za UWT tarehe 31 MaySuppose Lisu anakuwa Rais, anateua tume ya uchaguzi yenye wajumbe hawa, UTAKUBALI? BE HONEST
1. Lema
2. Mbowe
3. Boni Yai
4. Mnyika
5. Heche
6. Martin maranje masese
7. Brenda
8. Erythrocyte
9. Retired
to mention but a few
.
Nchi imejaa majitu majinga aina ya Lucas MwashambwaHana majibu huyo popoma.
Uchawa umemaliza akili yote na sasa ni debe tupu
nakujia baadayeHuna hoja.
Kwa maandiko yako ninavyoyaonq Tyr wewe ni chawa ingekuwa si hivyo ningeona ata upande wako wa piliMimi siyo chawa
mimi sio mtakasaji gentleman, ni wananchi ndio wenye katibaNincompoop.Una dhani ukishasema inaundwa kwa mujibu wa sheria ndio ume itakasa?

Huna akili fikirishiAcha kuota ndoto Utafikiri umelewa Gongo. CCM Itaongoza Taifa letu mpaka mwisho wa Dunia. Urais Unashikwa na mtu Mwenye Akili Timamu.
Naona ng'ombe mwingine umeunga tela. Kumbe mko wengi!Sasa zuzu km ww unajiweka kwenye kundi la wenye akili?
Kwa kuvurunda huku nje ndani kwa kasi ya 7G?Acha kuota ndoto Utafikiri umelewa Gongo. CCM Itaongoza Taifa letu mpaka mwisho wa Dunia. Urais Unashikwa na mtu Mwenye Akili Timamu.