Lucas Mwashambwa et al, ebu nijibu swali hili, be honest!

Umempa swali kubwa haliendani na level yake... huyo ni ombaomba cheo tu lakini hana alijualo mkuu
 
Suppose Lisu anakuwa Rais, anateua tume ya uchaguzi yenye wajumbe hawa, UTAKUBALI? BE HONEST

1. Lema
2. Mbowe
3. Boni Yai
4. Mnyika
5. Heche
6. Martin maranje masese
7. Brenda
8. Erythrocyte
9. Retired

to mention but a few
.
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania inaundwa kwa mujibu wa sheria na misingi ya katiba ya Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania. waTanzania wenye sifa na vigezo stahiki wanafaa kua wajumbe, wakurungenzi, makamishna na watumishi wa tume huru ya taifa ya uchaguzi na si vinginevyo.
 
Suppose Lisu anakuwa Rais, anateua tume ya uchaguzi yenye wajumbe hawa, UTAKUBALI? BE HONEST

1. Lema
2. Mbowe
3. Boni Yai
4. Mnyika
5. Heche
6. Martin maranje masese
7. Brenda
8. Erythrocyte
9. Retired

to mention but a few
.
Hiyo ni nchi ya kufikirika haitatokea kamwe mnaota ndoto za hovyo sana.
 
Huyo si ndiye alisema yuko tayari kuzikwa kaburi moja na kiongozi ili aupakate mwili wake kama machief wa zamani
 
Nincompoop.Una dhani ukishasema inaundwa kwa mujibu wa sheria ndio ume itakasa?
 
Suppose Lisu anakuwa Rais, anateua tume ya uchaguzi yenye wajumbe hawa, UTAKUBALI? BE HONEST

1. Lema
2. Mbowe
3. Boni Yai
4. Mnyika
5. Heche
6. Martin maranje masese
7. Brenda
8. Erythrocyte
9. Retired

to mention but a few
.
Ukiondoa Mbowe tu hapo waliobaki wote vichwani hamna kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…