Lucas Mwashambwa karibu ujibu hoja za Gwajima. Ahadi ni deni

Pantosha

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
869
Reaction score
1,282
Naona siku imeisha na bado Lucas Mwashambwa anafikiria namna ya kupangua hoja za Gwajima.

Nitumie nafasi hii kumkumbusha kuwa Watanzania tuna kiu ya kusikia akizivunjilia mbali hoja za mchungaji Gwajima.

Lucas ukisoma hili bandiko, haraka haraka njoo upangue nondo za Gwajima.
 
Upo serious?

Toka lini umemuona analeta hoja zaidi ya porojo?
 
Lucas safari hii labda asitumie kichwa kutupangulia hoja za Gwajiboy huenda tukasikia hoja tofauti lakini akitumia kichwa ni uozo ule ule tu hanaga jipya za ya mama mama mama
 
Naona siku imeisha na bado Lucas Mwashambwa anafikiria namna ya kupangua hoja za Gwajima.

Nitumie nafasi hii kumkumbusha kuwa Watanzania tuna kiu ya kusikia akizivunjilia mbali hoja za mchungaji Gwajima.

Lucas ukisoma hili bandiko, haraka haraka njoo upangue nondo za Gwajima.

Sidhani kama anayo akili nzuri ya kuweza kujibu mapigo ya huyo Mtu anayetaka kumjibu. Kamwe, taahira hawezi kumfundisha Profesa jambo lolote lile zuri na la maana.
 
Gwajima kasema ukweli ambao wote tunaujua ila tu yeye Gwajima amejivika ujasiri wa kuusema hadharani, hakuna asiyejua kuwa mnufaika wa mauaji ya wakosoaji ni Rais Samia. Kama Samia akitaka kukomesha vitendo hivi atavikomesha kwa amri moja tu kwani yeye ndiye Amiri Jeshi Mkuu,lakini badala yake ameamua kuyabariki mauaji hayo kwa vile anaamini ndiyo pona yake kuendelea kuitawala Tanganyika.
 
Naona siku imeisha na bado Lucas Mwashambwa anafikiria namna ya kupangua hoja za Gwajima.

Nitumie nafasi hii kumkumbusha kuwa Watanzania tuna kiu ya kusikia akizivunjilia mbali hoja za mchungaji Gwajima.

Lucas ukisoma hili bandiko, haraka haraka njoo upangue nondo za Gwajima.
😀😀😀 atakuja na vioja paragraph 14
 
downloadfile.jpg
 
😀😀😀 atakuja na vioja paragraph 14
Mpumbavu huyu alingoja watu wengine watiririke halafu anakuja kudesa tu , hana kichwa cha kujadili hoja za maana ubongo wake unatosha kumsifia Samia na kuvukia barabara tu.
 
Naona siku imeisha na bado Lucas Mwashambwa anafikiria namna ya kupangua hoja za Gwajima.

Nitumie nafasi hii kumkumbusha kuwa Watanzania tuna kiu ya kusikia akizivunjilia mbali hoja za mchungaji Gwajima.

Lucas ukisoma hili bandiko, haraka haraka njoo upangue nondo za Gwajima.
Hoja za gwajima kamwe hazipanguliwi na machawa kama wakina mwashambwa
 
Aliichokipata kwenye post yake sizani kama atarudia
 
Back
Top Bottom