Lucas Mwashambwa karibu ujibu hoja za Gwajima. Ahadi ni deni

Lucas Mwashambwa karibu ujibu hoja za Gwajima. Ahadi ni deni

Naona siku imeisha na bado Lucas Mwashambwa anafikiria namna ya kupangua hoja za Gwajima.

Nitumie nafasi hii kumkumbusha kuwa Watanzania tuna kiu ya kusikia akizivunjilia mbali hoja za mchungaji Gwajima.

Lucas ukisoma hili bandiko, haraka haraka njoo upangue nondo za Gwajima.
Yule sio chawa ni kunguni asie na haya
 
Yaani nondo ishushwe na Gwajima alafu chawa aweze kupata hoja ya kujibu. Ningeshangaa.

Watu wamepoteana huko.
CHAWA APATE HOJA YA KUJIBU😅😅ILA TANZANIA TULIPOFIKA NI HATRI SANA KWA VITUKUU VYETU HAPO MBELENI
 
Kumbe kuna watu mnapoteza muda kumfikiria Lucas
 
Gwajima ana hoja zenye mashiko na mtetea ukweli, sasa kinachonishangaza kwa huyu mzee ni kwamba hakuna aliyewahi kuzipanga nae akashinda
Sote tunajua ni kwa umuhimu gani taifa letu linamhitai kiongozi mwenye kaliba ya gwajima, so hakuna namna utaweza kuzitetea hoja petty petty tu kwa wananchi bila kuijibu hoja ya msingi iliyojengwa na Askofu Gwajima
 
Back
Top Bottom