Lucas Mwashambwa ni mfano bora wa kuigwa!

Naona umekosa wa Kusifia kwa kweli,
Anayejua humu ni Mshana Jr mpe hizo sifa ni zake kabisa.
Wewe kama unajua Mshana anastahili kupewa maua yake, kwanini hujampa?
Yakobo 4:17
Basi, mtu ambaye hafanyi lile jambo jema analojua kwamba anapaswa kulifanya, anatenda dhambi.
 
Kusaka ukurugenzi au ukuu wilaya sio kazi nyepesi kupitia mitandao .....binamu nyama ya hamu yahitaji ujitume sawa bibie
 
ndo na mimi nashanga, alafu anachomekea na Neno la Mungu 😂😂😂😅

Kama limwamposa linavyouza maji na kuchomekea na Neno la Mungu.
Mtu yeyote mwenye akili timamu lazima ashangazwe kwa punguani kama mwashambwa kupewa heshima,kwenye mithali imenenwa ya kuwa heshima haimpasi mpumbavu
 
Same vision same weakness!
To align one’s vision with another’s frailty is to conflate aspiration with limitation, a subtle yet profound equivocation. While the symmetry of vision may foster empathy, it is imperative to discern that the presence of shared ideals does not necessitate an identical manifestation of weakness. Indeed, to embrace a vision is to acknowledge its challenges without being subsumed by them.
 
ndo na mimi nashanga, alafu anachomekea na Neno la Mungu 😂😂😂😅

Kama limwamposa linavyouza maji na kuchomekea na Neno la Mungu.
Mfukuze shetani anayekujaza chuki ili uhesabiwe muuaji.
1 Yohana 3:15
"Kila amchukiaye ndugu yake ni mwuaji; nanyi mnajua ya kuwa kila mwuaji hana uzima wa milele ukikaa ndani yake."
 
Mfukuze shetani anayekujaza chuki ili uhesabiwe muuaji.
1 Yohana 3:15
"Kila amchukiaye ndugu yake ni mwuaji; nanyi mnajua ya kuwa kila mwuaji hana uzima wa milele ukikaa ndani yake."
Nakuuliza kwa upendo swali hili,

Israel waliambiwa Wampende Mfilisti ?
 
Nakuuliza kwa upendo swali hili,

Israel waliambiwa Wampende Mfilisti ?
Yani wakisema wapendeni adui zenu
wewe Setfree hakuna kitu unashikanisha kuhusu hili andiko ???


Unawapoteza kondoo na kunukuu vifungu hovyooo
 
Atakua anabubujikwa tu saa hizi kwa furaha ya kutambuouwa
 
Your stance really confuses me. I completely understand why you would respect Lucas's polite responses to quite harsh criticisms. Lucas seems to consistently respond well to critics but if I remember correctly I think that has not always been the case. As of late Lucas responds with decorum but in the past Lucas has responded with vulgarity too. Your point about Lucas serving as an example of how people can respond to/ behave in conversations is valid but you are ignoring the elephant in the room -- the reason why people seem to be so enraged by Lucas's posts. I personally find Lucas's posts entertaining -- I did not even know the kind of flattery Lucas bestows on government officials existed -- but what you are avoiding is that Lucas's posts tend to ignore and invalidate the lived experiences of a lot of other people in Tanzania. To constantly post only praise for a regime/ party/ government that many feel slighted by understandably rubs some people the wrong way. Some of Lucas's posts even appear to be attempts at gaslighting audiences, distorting many people's lived truths.

I myself in the past have pleaded with JF members to stop using insults in discussions but I also think it is not fair to ignore why Lucas's posts upset a lot of people.
 
Yesu ndio Mfano Bora wakuigwa
-Yeye ni Njia Ya Kweli na ya Uzima-
Sio Lucas
 
Lucas Mwashambwa ni wa kukemewa na kukaripiwa kwa tabia zake za uchawa haswa kwa raisi asiyetenda haki.

Siku nyingine utakuja kumpongeza shetani kwasababu hajawahi kujitokeza na kulalamika mbali na kupigwa vita kilasiku.

Je, shetani ni mfano wa kuigwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…