Lucas Mwashambwa ni mfano bora wa kuigwa!

Nataka kuamini hii ni ID nyingine ya Lukas!
Hata hivyo Umeikosea Biblia kwa kuweka maandiko ya kumtetea Chawa! Hakuna kokote ambako Mitume wala Manabii waliotetea na kusifu Wenye Mamlaka zinazotesa na kuua watu au kufanya maovu! Walikemea,walionya mpaka wengine kukatwa vichwa!
Kwa hiyo angeleta hata mada moja ya kukemea na kukosoa baadhi ya vitendo viovu vinavyofanywa na serikali yetu.
 
Kama itampendeza huyu mwamba, mzalendo wa taifa lake, siku moja aweke jukwaani taswira yake ikionesha akiwa anabubujikwa.
 
In a world increasingly fractured by ideological hostilities and digital antagonism, Lucas Mwashambwa’s unwavering commitment to addressing even his fiercest critics as “my fellow Tanzanians” is not merely an act of rhetorical courtesy — it is a rare embodiment of gospel-centered grace. His posture reminds us that true greatness lies not in intellectual dominance, but in the quiet strength to love beyond offense, and to recognize kinship where others see enmity. In this, he does not only speak like a brother; he lives like a disciple.
Mkuuu, umerudi?
Uliaga kuwa hutakuwepo for some months
 
Kazi anayofanya Mwashambwa na unayofanya wewe all are the same

Mwashambwa anasifia bila logic
Wewe unacopy na kupest everything about bible na unashare mitandaoni .

Katika Saikolojia ya siasa Mwashambwa ni layman na katika Theolojia wewe ni disciple (Mfuasi) wa maandishi na sio msomi wa bible wala kiongozi

Kwahiyo mmeendana kitabia au kimajumuni .
Asome na aelewe ulichondika hapa, wote ni laymen tu, mmoja wa kisiasa na mwingine wa kiimani
 
In a world increasingly fractured by ideological hostilities and digital antagonism, Lucas Mwashambwa’s unwavering commitment to addressing even his fiercest critics as “my fellow Tanzanians” is not merely an act of rhetorical courtesy — it is a rare embodiment of gospel-centered grace. His posture reminds us that true greatness lies not in intellectual dominance, but in the quiet strength to love beyond offense, and to recognize kinship where others see enmity. In this, he does not only speak like a brother; he lives like a disciple.
Thanks to ChatGPT 🙂 🙂
 
Your poetic infusion of pseudo romantic chemistry into a spiritual dialogue is not only misaligned with the gravity of the subject, but borders on philosophical incongruence. You speak of bonds, electrovalent, hydrogen, carbon, as if love were reducible to molecular affinity. But the bond that transcends all is the bond of truth, sealed by the Spirit, not sentiment. As Scripture declares: 'Set your minds on things above, not on earthly things' (Colossians 3:2). Let us not desecrate holy ground with emotional theatrics disguised as cosmic affection.
Furaha yangu ni wewe
 
Hapa JF kuna watu wana maneno yanayochoma kama mkuki, hata hivyo bado kuna watu wanaobaki kuwa na mioyo ya upendo, subira na busara hata wakirushiwa mikuki ya dhihaka na kejeli. Mmoja wa watu hao ni Lucas Mwashambwa — mtu ambaye licha ya kupingwa vikali, kushambuliwa hoja zake, na kukosolewa mara kwa mara, bado haachi kuwaona wakosoaji wake kuwa ni "ndugu zake"

Ni rahisi sana kuwapenda wanaokupenda, kuwasifu wanaokusifia, na kutoa tabasamu kwa wale wanaokupongeza. Lakini inahitaji moyo uliojaa neema, imani na unyenyekevu mkubwa kuendelea kuwaita wanaokubeza kuwa ni “ndugu.” Hiki ndicho kinachomtofautisha Lucas Mwashambwa na wengi wetu. Anaishi kama Maandiko yanavyotufundisha tuishi.

Yesu alisema:
“Lakini nawaambieni nyinyi mnaonisikiliza, wapendeni maadui zenu, watendeeni mema wale wanaowachukieni. Watakieni baraka wale wanaowalaani, na waombeeni wale wanaowatendea vibaya.."(Luka 6:27-28)

Akaongeza tena:
“Na ikiwa mnawapenda tu wale wanaowapenda nyinyi, je, mtapata tuzo gani? Hakuna! Kwa maana hata wenye dhambi huwapenda wale wanaowapenda wao.." (Luka 6:32)

Lucas Mwashambwa kwa kuendelea kuwaita “ndugu zangu Watanzania” wale wanaomshambulia, anatimiza kwa vitendo maagizo matakatifu ya Yesu. Ndio sababu nasema huyu ni mfano bora wa kuigwa, kwa sababu anajua kuuenzi utu hata pale ambapo wengine wanamnenea mabaya. Lucas Mwashambwa anatambua wazi kwamba tofauti za mawazo hazipaswi kufuta undugu wetu wa kibinadamu.

Lucas Mwashambwa, ametufundisha kwa vitendo kwamba mtu anaweza kutetea mtazamo wake bila chuki. Anaweza kupingwa bila kulipiza kisasi, na anaweza kuendelea kuona thamani ya wale wanaomtusi , kwa sababu ndani yake, anawaona kuwa ni ndugu zake.

Nimeona niandike uzi huu kwa sababu Biblia inanihimiza kufanya hivyo katika kitabu cha Wafilipi 4:8.
Hatimaye, ndugu zangu, mambo yo yote yaliyo ya kweli, yo yote yaliyo ya staha, yo yote yaliyo ya haki, yo yote yaliyo safi, yo yote yapendezayo, yo yote yenye sifa njema, ukiwapo wema wo wote, na sifa nzuri yo yote, yatafakarini hayo."
Lucas mwashambwa huyu huyu ambaye mimba yake ilitokana na mkesha wa mwenge?!
 
Lucas Mwashambwa kwa kuendelea kuwaita “ndugu zangu Watanzania” wale wanaomshambulia, anatimiza kwa vitendo maagizo matakatifu ya Yesu..
Tatizo la Lucas Mwashambwa ni pale anapotetea watesi, wezi, watekaji, wauaji... wa "ndugu zake Watanzania". Kwenye nyuzi zake nyingi sijapata kuona akikemea hayo maovu, kwa hiyo kumfananisha na Yesu ni kukufuru..
👇
Mmezoea kujiteka na kutafuta umaarufu wa kijinga. Endeleeni na ujinga huo wa kujitekenya na kujichekesha wenyewe kama mazuzu
Kwa hiyo mzee Ally Kibao, Mdude, Soka, na wengine wengi wamejiteka wenyewe??
 
Siku nyingine utakuja kumpongeza shetani kwasababu hajawahi kujitokeza na kulalamika mbali na kupigwa vita kilasiku.

Je, shetani ni mfano wa kuigwa?
Unakosea sana kumfananisha Lucas na shetani. Soma mada yangu hii kuhusu shetani
 
Mkuuu, umerudi?
Uliaga kuwa hutakuwepo for some months
Nimerudi, mkuu. Katika uzi huu nimeeleza kwanini nimerudi
 
Lucas Mwashambwa na ephen_ ni wachumba ujue!

Kwamba umeona Lucas aweza kuwa lango lako kuingia siasani?
Hujasoma uzi wangu huu?
 
Hujasoma uzi wangu huu?
Women hutumia lugha ya codes kuongea, anamsema hili huku akimaanisha lile.
 
Hapa JF kuna watu wana maneno yanayochoma kama mkuki, hata hivyo bado kuna watu wanaobaki kuwa na mioyo ya upendo, subira na busara hata wakirushiwa mikuki ya dhihaka na kejeli. Mmoja wa watu hao ni Lucas Mwashambwa — mtu ambaye licha ya kupingwa vikali, kushambuliwa hoja zake, na kukosolewa mara kwa mara, bado haachi kuwaona wakosoaji wake kuwa ni "ndugu zake"

Ni rahisi sana kuwapenda wanaokupenda, kuwasifu wanaokusifia, na kutoa tabasamu kwa wale wanaokupongeza. Lakini inahitaji moyo uliojaa neema, imani na unyenyekevu mkubwa kuendelea kuwaita wanaokubeza kuwa ni “ndugu.” Hiki ndicho kinachomtofautisha Lucas Mwashambwa na wengi wetu. Anaishi kama Maandiko yanavyotufundisha tuishi.

Yesu alisema:
“Lakini nawaambieni nyinyi mnaonisikiliza, wapendeni maadui zenu, watendeeni mema wale wanaowachukieni. Watakieni baraka wale wanaowalaani, na waombeeni wale wanaowatendea vibaya.."(Luka 6:27-28)

Akaongeza tena:
“Na ikiwa mnawapenda tu wale wanaowapenda nyinyi, je, mtapata tuzo gani? Hakuna! Kwa maana hata wenye dhambi huwapenda wale wanaowapenda wao.." (Luka 6:32)

Lucas Mwashambwa kwa kuendelea kuwaita “ndugu zangu Watanzania” wale wanaomshambulia, anatimiza kwa vitendo maagizo matakatifu ya Yesu. Ndio sababu nasema huyu ni mfano bora wa kuigwa, kwa sababu anajua kuuenzi utu hata pale ambapo wengine wanamnenea mabaya. Lucas Mwashambwa anatambua wazi kwamba tofauti za mawazo hazipaswi kufuta undugu wetu wa kibinadamu.

Lucas Mwashambwa, ametufundisha kwa vitendo kwamba mtu anaweza kutetea mtazamo wake bila chuki. Anaweza kupingwa bila kulipiza kisasi, na anaweza kuendelea kuona thamani ya wale wanaomtusi , kwa sababu ndani yake, anawaona kuwa ni ndugu zake.

Nimeona niandike uzi huu kwa sababu Biblia inanihimiza kufanya hivyo katika kitabu cha Wafilipi 4:8.
Hatimaye, ndugu zangu, mambo yo yote yaliyo ya kweli, yo yote yaliyo ya staha, yo yote yaliyo ya haki, yo yote yaliyo safi, yo yote yapendezayo, yo yote yenye sifa njema, ukiwapo wema wo wote, na sifa nzuri yo yote, yatafakarini hayo."
Chawa pro max hakuna lolote
 
Kwa nani?Familia,kundi lake,shuleni kwake ama kwenye itikadi zake?
 
Mwashambwa itakua amepikwa na kupikika pale ccm magogoni,anajua kucheza na akili za wapinzani ipasavyo tena pasipo kumtukana yoyote
 
Sikia kama unataka umpe huo mkoba wa sadaka (Kipochi chenye ma..ny..ya) we mpe tu usianzie mbaaali 🤣
 
Back
Top Bottom