Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Nimekusamehe bure kabisaLucas Mwashambwa ni wa kukemewa na kukaripiwa kwa tabia zake za uchawa haswa kwa raisi asiyetenda haki.
Siku nyingine utakuja kumpongeza shetani kwasababu hajawahi kujitokeza na kulalamika mbali na kupigwa vita kilasiku.
Je, shetani ni mfano wa kuigwa?
Mkuuu, umerudi?In a world increasingly fractured by ideological hostilities and digital antagonism, Lucas Mwashambwa’s unwavering commitment to addressing even his fiercest critics as “my fellow Tanzanians” is not merely an act of rhetorical courtesy — it is a rare embodiment of gospel-centered grace. His posture reminds us that true greatness lies not in intellectual dominance, but in the quiet strength to love beyond offense, and to recognize kinship where others see enmity. In this, he does not only speak like a brother; he lives like a disciple.
Asome na aelewe ulichondika hapa, wote ni laymen tu, mmoja wa kisiasa na mwingine wa kiimaniKazi anayofanya Mwashambwa na unayofanya wewe all are the same
Mwashambwa anasifia bila logic
Wewe unacopy na kupest everything about bible na unashare mitandaoni .
Katika Saikolojia ya siasa Mwashambwa ni layman na katika Theolojia wewe ni disciple (Mfuasi) wa maandishi na sio msomi wa bible wala kiongozi
Kwahiyo mmeendana kitabia au kimajumuni .
Thanks to ChatGPT 🙂 🙂In a world increasingly fractured by ideological hostilities and digital antagonism, Lucas Mwashambwa’s unwavering commitment to addressing even his fiercest critics as “my fellow Tanzanians” is not merely an act of rhetorical courtesy — it is a rare embodiment of gospel-centered grace. His posture reminds us that true greatness lies not in intellectual dominance, but in the quiet strength to love beyond offense, and to recognize kinship where others see enmity. In this, he does not only speak like a brother; he lives like a disciple.
Furaha yangu ni weweYour poetic infusion of pseudo romantic chemistry into a spiritual dialogue is not only misaligned with the gravity of the subject, but borders on philosophical incongruence. You speak of bonds, electrovalent, hydrogen, carbon, as if love were reducible to molecular affinity. But the bond that transcends all is the bond of truth, sealed by the Spirit, not sentiment. As Scripture declares: 'Set your minds on things above, not on earthly things' (Colossians 3:2). Let us not desecrate holy ground with emotional theatrics disguised as cosmic affection.
Lucas mwashambwa huyu huyu ambaye mimba yake ilitokana na mkesha wa mwenge?!Hapa JF kuna watu wana maneno yanayochoma kama mkuki, hata hivyo bado kuna watu wanaobaki kuwa na mioyo ya upendo, subira na busara hata wakirushiwa mikuki ya dhihaka na kejeli. Mmoja wa watu hao ni Lucas Mwashambwa — mtu ambaye licha ya kupingwa vikali, kushambuliwa hoja zake, na kukosolewa mara kwa mara, bado haachi kuwaona wakosoaji wake kuwa ni "ndugu zake"
Ni rahisi sana kuwapenda wanaokupenda, kuwasifu wanaokusifia, na kutoa tabasamu kwa wale wanaokupongeza. Lakini inahitaji moyo uliojaa neema, imani na unyenyekevu mkubwa kuendelea kuwaita wanaokubeza kuwa ni “ndugu.” Hiki ndicho kinachomtofautisha Lucas Mwashambwa na wengi wetu. Anaishi kama Maandiko yanavyotufundisha tuishi.
Yesu alisema:
“Lakini nawaambieni nyinyi mnaonisikiliza, wapendeni maadui zenu, watendeeni mema wale wanaowachukieni. Watakieni baraka wale wanaowalaani, na waombeeni wale wanaowatendea vibaya.."(Luka 6:27-28)
Akaongeza tena:
“Na ikiwa mnawapenda tu wale wanaowapenda nyinyi, je, mtapata tuzo gani? Hakuna! Kwa maana hata wenye dhambi huwapenda wale wanaowapenda wao.." (Luka 6:32)
Lucas Mwashambwa kwa kuendelea kuwaita “ndugu zangu Watanzania” wale wanaomshambulia, anatimiza kwa vitendo maagizo matakatifu ya Yesu. Ndio sababu nasema huyu ni mfano bora wa kuigwa, kwa sababu anajua kuuenzi utu hata pale ambapo wengine wanamnenea mabaya. Lucas Mwashambwa anatambua wazi kwamba tofauti za mawazo hazipaswi kufuta undugu wetu wa kibinadamu.
Lucas Mwashambwa, ametufundisha kwa vitendo kwamba mtu anaweza kutetea mtazamo wake bila chuki. Anaweza kupingwa bila kulipiza kisasi, na anaweza kuendelea kuona thamani ya wale wanaomtusi , kwa sababu ndani yake, anawaona kuwa ni ndugu zake.
Nimeona niandike uzi huu kwa sababu Biblia inanihimiza kufanya hivyo katika kitabu cha Wafilipi 4:8.
Hatimaye, ndugu zangu, mambo yo yote yaliyo ya kweli, yo yote yaliyo ya staha, yo yote yaliyo ya haki, yo yote yaliyo safi, yo yote yapendezayo, yo yote yenye sifa njema, ukiwapo wema wo wote, na sifa nzuri yo yote, yatafakarini hayo."
Tatizo la Lucas Mwashambwa ni pale anapotetea watesi, wezi, watekaji, wauaji... wa "ndugu zake Watanzania". Kwenye nyuzi zake nyingi sijapata kuona akikemea hayo maovu, kwa hiyo kumfananisha na Yesu ni kukufuru..Lucas Mwashambwa kwa kuendelea kuwaita “ndugu zangu Watanzania” wale wanaomshambulia, anatimiza kwa vitendo maagizo matakatifu ya Yesu..
Kwa hiyo mzee Ally Kibao, Mdude, Soka, na wengine wengi wamejiteka wenyewe??Mmezoea kujiteka na kutafuta umaarufu wa kijinga. Endeleeni na ujinga huo wa kujitekenya na kujichekesha wenyewe kama mazuzu
Unakosea sana kumfananisha Lucas na shetani. Soma mada yangu hii kuhusu shetaniSiku nyingine utakuja kumpongeza shetani kwasababu hajawahi kujitokeza na kulalamika mbali na kupigwa vita kilasiku.
Je, shetani ni mfano wa kuigwa?
AgreedNonsense
Stupid
Nimerudi, mkuu. Katika uzi huu nimeeleza kwanini nimerudiMkuuu, umerudi?
Uliaga kuwa hutakuwepo for some months
Hujasoma uzi wangu huu?Lucas Mwashambwa na ephen_ ni wachumba ujue!
Kwamba umeona Lucas aweza kuwa lango lako kuingia siasani?
Women hutumia lugha ya codes kuongea, anamsema hili huku akimaanisha lile.Hujasoma uzi wangu huu?
Natamani kuwa Mwanasiasa lakini moyo wangu umegoma kabisa!
Natamani kuwa Mwanasiasa lakini moyo wangu umegoma kabisa! Nikitazama runinga, nikisoma magazeti, au kushuhudia mijadala ya kisiasa, kuna sauti inaniambia: "Laiti na mimi ningekuwa mwanasiasa!" Kwa mbali, siasa inaonekana ni nafasi ya heshima, ushawishi na fursa. Ni njia ya kuwahudumia watu...www.jamiiforums.com
Chawa pro max hakuna loloteHapa JF kuna watu wana maneno yanayochoma kama mkuki, hata hivyo bado kuna watu wanaobaki kuwa na mioyo ya upendo, subira na busara hata wakirushiwa mikuki ya dhihaka na kejeli. Mmoja wa watu hao ni Lucas Mwashambwa — mtu ambaye licha ya kupingwa vikali, kushambuliwa hoja zake, na kukosolewa mara kwa mara, bado haachi kuwaona wakosoaji wake kuwa ni "ndugu zake"
Ni rahisi sana kuwapenda wanaokupenda, kuwasifu wanaokusifia, na kutoa tabasamu kwa wale wanaokupongeza. Lakini inahitaji moyo uliojaa neema, imani na unyenyekevu mkubwa kuendelea kuwaita wanaokubeza kuwa ni “ndugu.” Hiki ndicho kinachomtofautisha Lucas Mwashambwa na wengi wetu. Anaishi kama Maandiko yanavyotufundisha tuishi.
Yesu alisema:
“Lakini nawaambieni nyinyi mnaonisikiliza, wapendeni maadui zenu, watendeeni mema wale wanaowachukieni. Watakieni baraka wale wanaowalaani, na waombeeni wale wanaowatendea vibaya.."(Luka 6:27-28)
Akaongeza tena:
“Na ikiwa mnawapenda tu wale wanaowapenda nyinyi, je, mtapata tuzo gani? Hakuna! Kwa maana hata wenye dhambi huwapenda wale wanaowapenda wao.." (Luka 6:32)
Lucas Mwashambwa kwa kuendelea kuwaita “ndugu zangu Watanzania” wale wanaomshambulia, anatimiza kwa vitendo maagizo matakatifu ya Yesu. Ndio sababu nasema huyu ni mfano bora wa kuigwa, kwa sababu anajua kuuenzi utu hata pale ambapo wengine wanamnenea mabaya. Lucas Mwashambwa anatambua wazi kwamba tofauti za mawazo hazipaswi kufuta undugu wetu wa kibinadamu.
Lucas Mwashambwa, ametufundisha kwa vitendo kwamba mtu anaweza kutetea mtazamo wake bila chuki. Anaweza kupingwa bila kulipiza kisasi, na anaweza kuendelea kuona thamani ya wale wanaomtusi , kwa sababu ndani yake, anawaona kuwa ni ndugu zake.
Nimeona niandike uzi huu kwa sababu Biblia inanihimiza kufanya hivyo katika kitabu cha Wafilipi 4:8.
Hatimaye, ndugu zangu, mambo yo yote yaliyo ya kweli, yo yote yaliyo ya staha, yo yote yaliyo ya haki, yo yote yaliyo safi, yo yote yapendezayo, yo yote yenye sifa njema, ukiwapo wema wo wote, na sifa nzuri yo yote, yatafakarini hayo."
Kwa nani?Familia,kundi lake,shuleni kwake ama kwenye itikadi zake?Hapa JF kuna watu wana maneno yanayochoma kama mkuki, hata hivyo bado kuna watu wanaobaki kuwa na mioyo ya upendo, subira na busara hata wakirushiwa mikuki ya dhihaka na kejeli. Mmoja wa watu hao ni Lucas Mwashambwa — mtu ambaye licha ya kupingwa vikali, kushambuliwa hoja zake, na kukosolewa mara kwa mara, bado haachi kuwaona wakosoaji wake kuwa ni "ndugu zake"
Ni rahisi sana kuwapenda wanaokupenda, kuwasifu wanaokusifia, na kutoa tabasamu kwa wale wanaokupongeza. Lakini inahitaji moyo uliojaa neema, imani na unyenyekevu mkubwa kuendelea kuwaita wanaokubeza kuwa ni “ndugu.” Hiki ndicho kinachomtofautisha Lucas Mwashambwa na wengi wetu. Anaishi kama Maandiko yanavyotufundisha tuishi.
Yesu alisema:
“Lakini nawaambieni nyinyi mnaonisikiliza, wapendeni maadui zenu, watendeeni mema wale wanaowachukieni. Watakieni baraka wale wanaowalaani, na waombeeni wale wanaowatendea vibaya.."(Luka 6:27-28)
Akaongeza tena:
“Na ikiwa mnawapenda tu wale wanaowapenda nyinyi, je, mtapata tuzo gani? Hakuna! Kwa maana hata wenye dhambi huwapenda wale wanaowapenda wao.." (Luka 6:32)
Lucas Mwashambwa kwa kuendelea kuwaita “ndugu zangu Watanzania” wale wanaomshambulia, anatimiza kwa vitendo maagizo matakatifu ya Yesu. Ndio sababu nasema huyu ni mfano bora wa kuigwa, kwa sababu anajua kuuenzi utu hata pale ambapo wengine wanamnenea mabaya. Lucas Mwashambwa anatambua wazi kwamba tofauti za mawazo hazipaswi kufuta undugu wetu wa kibinadamu.
Lucas Mwashambwa, ametufundisha kwa vitendo kwamba mtu anaweza kutetea mtazamo wake bila chuki. Anaweza kupingwa bila kulipiza kisasi, na anaweza kuendelea kuona thamani ya wale wanaomtusi , kwa sababu ndani yake, anawaona kuwa ni ndugu zake.
Nimeona niandike uzi huu kwa sababu Biblia inanihimiza kufanya hivyo katika kitabu cha Wafilipi 4:8.
Hatimaye, ndugu zangu, mambo yo yote yaliyo ya kweli, yo yote yaliyo ya staha, yo yote yaliyo ya haki, yo yote yaliyo safi, yo yote yapendezayo, yo yote yenye sifa njema, ukiwapo wema wo wote, na sifa nzuri yo yote, yatafakarini hayo."
Mwashambwa itakua amepikwa na kupikika pale ccm magogoni,anajua kucheza na akili za wapinzani ipasavyo tena pasipo kumtukana yoyoteHapa JF kuna watu wana maneno yanayochoma kama mkuki, hata hivyo bado kuna watu wanaobaki kuwa na mioyo ya upendo, subira na busara hata wakirushiwa mikuki ya dhihaka na kejeli. Mmoja wa watu hao ni Lucas Mwashambwa — mtu ambaye licha ya kupingwa vikali, kushambuliwa hoja zake, na kukosolewa mara kwa mara, bado haachi kuwaona wakosoaji wake kuwa ni "ndugu zake"