Lucas Mwashambwa umemuona Bint Mbowe kwenye Viwanja Vya Siasa za Maandamano Magomeni?

Komredi Lucas Mwashambwa una lolote la kuzungumzia Bint Mbowe kuwepo Uwanja wa kuanzia Maandamano pale Magomeni mapipa?

Siasa au Sihasa? 🐼
Ila hii Manchester United ya mwaka huu sijui kama itapona kushuka daraja. Mechi 5 imedondosha point 8 na bado hajakutana na wale top 5 kila mwaka. Kimahesabu imeshashuka daraja (5X3)x2=30(Home and Away)+8(zilizokwisha dondoka)=38. Lengo la hizi hesabu ni kuwatahadharisha mashabiki wote wa Man U mjiandae kisaikolojia
 
Man City vs Arsenal alishinda nani? 😂
 
Nimeona alikuwa anakwenda sokoni ndio akapewa lifti kwenye gari la police. Si unaona hajapigwa hata makofi tu. Baba yake naye amepandishwa kwenye Gari zuri. Mbowe na wanae Kimoyo wapo CCM ila kimwili ndio wapo CHADEMA kwa ajili ya maslahi tu.
Polisi wetu ni waungwana wameona wanaomboleza wasiwaongezee huzuni. Naamini hali ikipoa watawaachia ili wakutane na Rais kuweka mambo sawa.
 
Nimeona alikuwa anakwenda sokoni ndio akapewa lifti kwenye gari la police. Si unaona hajapigwa hata makofi tu. Baba yake naye amepandishwa kwenye Gari zuri. Mbowe na wanae Kimoyo wapo CCM ila kimwili ndio wapo CHADEMA kwa ajili ya maslahi tu.
sasa jaribu wewe kajamba nani uone gari utakalo pandishwa na virungu juuu
 
Ila hii Manchester United ya mwaka huu sijui kama itapona kushuka daraja. Mechi 5 imedondosha point 8 na bado hajakutana na wale top 5 kila mwaka. Kimahesabu imeshashuka daraja (5X3)x2=30(Home and Away)+8(zilizokwisha dondoka)=38. Lengo la hizi hesabu ni kuwatahadharisha mashabiki wote wa Man U mjiandae kisaikolojia
Peleka kule kwa wazee wa mikeka umerogwanini
 
Back
Top Bottom