Ok sawa tumewajua sasa..Nimeona alikuwa anakwenda sokoni ndio akapewa lifti kwenye gari la police. Si unaona hajapigwa hata makofi tu. Baba yake naye amepandishwa kwenye Gari zuri. Mbowe na wanae Kimoyo wapo CCM ila kimwili ndio wapo CHADEMA kwa ajili ya maslahi tu.
Baada ya Abduli kwenda kwa Lissu nani anayefuata kwenda kumshawishi ili auze chama kama Mbowe?
Kwahiyo CCM hamfanyi siasa za maslahi ya umma kama mnayoinadi ilani yenu bali ni kwa ajili ya matumbo yenu?