Lucas Mwashambwa umemuona Bint Mbowe kwenye Viwanja Vya Siasa za Maandamano Magomeni?

Sasa sisi Chelsea moto unazidi kuwaka, sasa hv tunapiga yeyote anayekuja mbele yetu.
 
Nimeona alikuwa anakwenda sokoni ndio akapewa lifti kwenye gari la police. Si unaona hajapigwa hata makofi tu. Baba yake naye amepandishwa kwenye Gari zuri. Mbowe na wanae Kimoyo wapo CCM ila kimwili ndio wapo CHADEMA kwa ajili ya maslahi tu.

Kwa hiyo ukiwa CCM hata ukiandamana hupigwei .... Nyie PAKA wa LUMUMBA jikomboeni kwanza kiakili!!
 
Nimeona alikuwa anakwenda sokoni ndio akapewa lifti kwenye gari la police. Si unaona hajapigwa hata makofi tu. Baba yake naye amepandishwa kwenye Gari zuri. Mbowe na wanae Kimoyo wapo CCM ila kimwili ndio wapo CHADEMA kwa ajili ya maslahi tu.
Nilikuwa sijui PhD ya ujinga inakuwaje ila sasa nimeifahamu kupitia wewe! Hongera!
 
Wewe ndio toto lioga kweli .kazi yako kubwabwaja unafiki ukiwa humu. Sasa mbona hujaandamana?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Nakuambia wewe una PhD ya ujinga! Kwa akili yako unajua kila anaye comment humu JF yupo Dar au huko Nanjilinji kwenu? Members wengi eitha wanaishi hata huko ughaibuni au ana comment wakati yuko nje ya nchi pia.
Fikra zenu nyie machawa ni umasikini tuu na kujikomba!
Bangladeshi!
 
Nimeona alikuwa anakwenda sokoni ndio akapewa lifti kwenye gari la police. Si unaona hajapigwa hata makofi tu. Baba yake naye amepandishwa kwenye Gari zuri. Mbowe na wanae Kimoyo wapo CCM ila kimwili ndio wapo CHADEMA kwa ajili ya maslahi tu.
We unadhani mbowe ni size yako.
Tafuta mwanaume mlalahoi kama wewe.

Ingekuwa ni weww wangekupandisha kwa kukutilia kidole mjinga mkubwa wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…