Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mwanamuziki anajitambua na daima tukumbuke kuwa nabii kamwe haheshimiki nyumbani kwake!
Mkuu hukumbuki kule Reo kwenye olimpiki?Kumbe habari za Magufuli zimeenea hadi Jamaika..
Atazungumzia umuhimu wa democracy!Nasubiri nyimbo mpya ya Talib Kweli inayomhusu Magufuli. Sijui atazungumzia nini kwenye hiyo nyimbo..
Ni wanaojiita UKAWA tu ndio wanajifanya hawaoni! Leo Bwana mmoja akihojiwa BBC anasema Magufuli amekosea Elimu Bure. Angeanza Mishahara ya Mwalimu huku wanafunzi wakiwa hawana madarasa na wanakaa chini. Tumemwelewa kwa kuwa Walimu ndio walikuwa washabiki na wapiga kura wake! Ila anamkubali JPM kwa mambo mengi!Kumbe habari za Magufuli zimeenea hadi Jamaika..
Yaani nimeipenda hiyo ' Hatishwi na Matatizo ya Mpito bali anatishwa na matatizo ya muda mrefu' , wenye Almasi wengine kazi yao kumkashifu na kutaka kumrudisha nyuma uzuri ' Hatishiki na matatizo ya mpito' dah nimeipenda sana hii!Mwanamziki wa Jamaica las laciano aliyewahi kutamba na nyimbo kadhaa , " ikiwemo its me against jah" amejichora tatoo ya rais kutokea Africa anayemkubali , ambaye ni rais wa Tanzania mh , John Magufuli
Sababu ni kuwa ndo rais muwajibikaji, anayeona mbele hatishiwi na matatizo ya mpito ila anatishiwa na matatizo ya mda mrefu kama rushwa, urasimu na uzembe kazini
View attachment 400403
Mheshimiwa Magufuli ameendelea kugonga kimataifa na anazidi kukubalika ,
umechukia...pole!Acheni propaganda za kitoto yaan ufanye photoshop af mjipange kujijibu wenyewe mkidhani mtawaaminisha watu, kweli njaa ikiingia ubongoni mbaya, shame on you Lumumba fc
Vyovyote iwavyo ni ya Magufuli.Hiyo tattoo no temporary au permanent??