We mleta post, una uhakika kwamba Jamaica watu wanaitwa Magufuli?! Bora angeanza na prefix ya President then .....!Mwanamziki wa Jamaica Las Laciano aliyewahi kutamba na nyimbo kadhaa , " ikiwemo its me against jah" amejichora tatoo ya rais kutokea Africa anayemkubali , ambaye ni rais wa Tanzania Mh. Dr John Magufuli.
Sababu ni kuwa ndo rais muwajibikaji, anayeona mbele hatishiwi na matatizo ya mpito ila anatishiwa na matatizo ya muda mrefu kama rushwa, urasimu na uzembe kazini.
View attachment 400403
Mheshimiwa Magufuli ameendelea kugonga kimataifa na anazidi kukubalika.
Mbona kama studio za earadioMwanamziki wa Jamaica Las Laciano aliyewahi kutamba na nyimbo kadhaa , " ikiwemo its me against jah" amejichora tatoo ya rais kutokea Africa anayemkubali , ambaye ni rais wa Tanzania Mh. Dr John Magufuli.
Sababu ni kuwa ndo rais muwajibikaji, anayeona mbele hatishiwi na matatizo ya mpito ila anatishiwa na matatizo ya muda mrefu kama rushwa, urasimu na uzembe kazini.
View attachment 400403
Mheshimiwa Magufuli ameendelea kugonga kimataifa na anazidi kukubalika.
Nasikia kaghairi baada ya kusikia hotuba ya Zanzibar!Nasubiri nyimbo mpya ya Talib Kweli inayomhusu Magufuli. Sijui atazungumzia nini kwenye hiyo nyimbo..
ITS ME AGAINST JAH.....NO DOUBT....
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Shotofopu
Ukweli ni kwamba nje ya tofauti zetu za kisiasa magufuli ni kiongozi mzuri mno, sema kwa sababu taifa letu hili limejaa wajasiriamali wa siasa basi hawatakubali, kasi ya magufuli maana wanaona magufuli akasifiwa hawatasonga mbali, kwa sababu siasa yao ni ya kijasiraamali biashara. huyu mzee tumshauli vizuri alisukume taifa letu hili mbele punguzeni dhihaka, na vijembe. Alah magufuli anafaa sanaNimeingia net nimesearch tatoos zote za huyo msanii sijaona hii bila kujali maudhui yake hii sio sifa bali ni dhihaka
Baadhi ya maneno ya wimbo wa Bro. LucciAgainst jah
Mwanamziki wa Jamaica Las Laciano aliyewahi kutamba na nyimbo kadhaa , " ikiwemo its me against jah" amejichora tatoo ya rais kutokea Africa anayemkubali , ambaye ni rais wa Tanzania Mh. Dr John Magufuli.
Sababu ni kuwa ndo rais muwajibikaji, anayeona mbele hatishiwi na matatizo ya mpito ila anatishiwa na matatizo ya muda mrefu kama rushwa, urasimu na uzembe kazini.
View attachment 400403
Mheshimiwa Magufuli ameendelea kugonga kimataifa na anazidi kukubalika.[/QUOTE
Natoa wito kwa wanamuziki wetu Na wasanii wengine kujichora ili kuenzi kazi njema za Rais wetu. Wasanii ni kioo cha jamii wasisahau.
Unaiita Mimi ZombiPhotoshop at work. Amkeni nyie mazombi......Roma Mkatoliki
Source broMwanamziki wa Jamaica Las Laciano aliyewahi kutamba na nyimbo kadhaa , " ikiwemo its me against jah" amejichora tatoo ya rais kutokea Africa anayemkubali , ambaye ni rais wa Tanzania Mh. Dr John Magufuli.
Sababu ni kuwa ndo rais muwajibikaji, anayeona mbele hatishiwi na matatizo ya mpito ila anatishiwa na matatizo ya muda mrefu kama rushwa, urasimu na uzembe kazini.
View attachment 400403
Mheshimiwa Magufuli ameendelea kugonga kimataifa na anazidi kukubalika.
Sura wameishindwa kuichora ma tattoo artists wa kingstonKajichora jina sawa, je amekiri kiwa hilo neno ni jina la mh wetu.. Isijekuwa ina maana nyingine huko..
Angechora sura au akikiri kiwa juyo ni mh wetu itakuwa safi zaid.