Mwanamziki wa Jamaica Las Laciano aliyewahi kutamba na nyimbo kadhaa , " ikiwemo its me against jah" amejichora tatoo ya rais kutokea Africa anayemkubali , ambaye ni rais wa Tanzania Mh. Dr John Magufuli.
Sababu ni kuwa ndo rais muwajibikaji, anayeona mbele hatishiwi na matatizo ya mpito ila anatishiwa na matatizo ya muda mrefu kama rushwa, urasimu na uzembe kazini.
View attachment 400403
Mheshimiwa Magufuli ameendelea kugonga kimataifa na anazidi kukubalika.[/QUOTE
Natoa wito kwa wanamuziki wetu Na wasanii wengine kujichora ili kuenzi kazi njema za Rais wetu. Wasanii ni kioo cha jamii wasisahau.