Lucci Laciano: Mwanamuziki wa Jamaica aliyejichora tatoo ya Rais Magufuli (PICHA)

Lucci Laciano: Mwanamuziki wa Jamaica aliyejichora tatoo ya Rais Magufuli (PICHA)

1474636303907.jpg



Katika kile kinachoonekana kama kukubalika kwa Rais Magufuli nje ya Mipaka ya Tanzania na Afrika kwa ujumla, Msanii kutoka Jamaica ameamua kujichora Tattoo ya Rais John Pombe Magufuli , imekuwa ni kawaida kwa mastaa mbalimbali kujichora tattoo za Marais Maarufu kutoka afrika hasahasa ya Mzee Mandela .

Source- Michuzi
 
fanya utafiti kwanza huyo msanii ni mtanzania aishiye south Africa na hiyo picha alikuwepo studion east Africa radio
 
Weka picha yote isije kuwa ni lizabon kajichora ili kucheza na akili Za watu.hii nchi maigizo mengi sina hamu nayo
 
220px-Jerk-60.jpg
Habari ya ni ya kughushi.Na jina la huyo msanii sio Laciano bali ni Luciano.Luciano ni mtu mzima wa miaka 51 na hana umbo kama hilo.Ndio maana wameficha uso.
 
Halafu tunajuaje anamaanisha kuwa anamkubali? Au anamkubali kwa mtizamo upi?
Maana tumeambiwa hata "wenye tabia zisizofaa" nao wana marafiki ati!
Kwa hiyo inategemea "nani" anamkubali "nani" au "nani" anakubaliwa na "nani"
 
Basi waje wamchukue waende nae huko kama anawafaa.
 
Back
Top Bottom