Lucci Laciano: Mwanamuziki wa Jamaica aliyejichora tatoo ya Rais Magufuli (PICHA)

Lucci Laciano: Mwanamuziki wa Jamaica aliyejichora tatoo ya Rais Magufuli (PICHA)

Wewe ndo muongo, Mtanzania anaitwa Las Laciano?
Wewe mbona unaitwa Tata Madiba, kuna meingine anaitwa Diamond Platinum, ni majina ya kitanzania hayo?

That said, huyo mwanamuziki simfahamu, japo wimbo wa "It's me again Jah" (siyo "It's me AGAINST jah" kama alivyoonyesha mwenye uzi wake) nilishapata kuusikia enzi za nyuma. Ila ninachofafanua ni kutumia jina tena la kisanii kupinga au kuthibitisha uraia wa mtu.

Watu wanaajiita Crazy, MB Dog, Big Dog Pose, Dudubaya...
Kifupi majina ya kisanii ni saa na ya JF
 
sasa amejichora tatoo ya magufuli au amejichora tattoo kaandika jina la magu?
 
embu tuoneshe mwili na sura yote isije kua ni sura ya hapa hapa kwetu
 
Kawadanganye wenye akili za chura kama we,onyesha picha nzima ya huyo mwanamusc.
 
Acheni propaganda za kitoto yaan ufanye photoshop af mjipange kujijibu wenyewe mkidhani mtawaaminisha watu, kweli njaa ikiingia ubongoni mbaya, shame on you Lumumba fc

Sasa mkuu wewe hapa umekeleka na nini?
 
Kama ni kweli inatusaidia nini hii kitu?
 
Tatizo awajui yanayoendelea tz ... Siwanaishia kumuona akiongea2 AF amna chochote anachofanya
 
Hovyo kabisa! Inamana nikichora tattoo ya nyoka inamaana namkubali sana nyoka? Kuchora tatoo ya mtu au kitu haimaanishi unafurahia mazuri yake kama unavyojiaminisha mtoa mada,...vipi wanaochora tatoo za osama, hitler etc utasemaje??
 
Back
Top Bottom