LUCIAN GABRIEL WIINA MSAMATI: Muigizaji mwenye asili ya Tanzania ndani Game of Thrones

LUCIAN GABRIEL WIINA MSAMATI: Muigizaji mwenye asili ya Tanzania ndani Game of Thrones

Mangungo II

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2012
Posts
18,133
Reaction score
26,766
Naam,

Pengine ulikuwa hujui sasa nakujuza.

Bwana Lucian Gabriel Wiina Msamati ni muigizaji wa Kiingereza mwenye asili ya Tanzania kuigiza katika Tamthilia pendwa ya Game of Thrones.

Katika Game of Thrones alijulikana kama Saladhor Saan, yule captain wa maharamia mwenye meli nyingi aliekuwa rafiki wa General wa Stannis Baratheon.

Bwana Msamati alizaliwa kwa wazazi wa Kitanzania mwaka 1976 huko Zimbabwe baba yake alikuwa daktari na mama yake alikuwa nesi.

Alianza safari yake ya kielimu katika shule ya Olympio Dar es Salaam kisha akahamia Zimbabwe na Uingereza .

Hahahah! Moja Kati qoute maarufu ya character Saladhor Saan iliyochezwa na Lucian Msamati ni:

"I've been all over the world, my boy, and everywhere I go people tell me about the 'true gods', they all think they found the right one. The one true god is what's between a woman's legs."


Kwa sasa Lucian yuko UK aliendesha maisha yake kama mwanahabari na muigizaji.

Baadhi ya filamu zingine alizocheza ni pamoja na The Good Lier, The Legend of Sky Kingdom, Richard Li na The International

Credit: Moe Chanda (Twitter) na mtandao.

Msamati.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
GoT 3x01 - Davos and Sallador Saan conversation (HD)

 
Lucian Msamati reads Nelson Mandela's speech I am Prepared to Die, first given on 20 April 1964 from the dock of the defendant at the Rivonia Trial.



Source : Illuminations Medis
 
Katika maisha yake hajawai kurudi Tz na wala kutoa mchango wowote kwenye tasnia ya habari na filamu

Hivyo hana faida kuwa mtanzania

Sent using Jamii Forums mobile app

Watanzania wanaokulia nje ni wajinga wajinga tu. Tofauti na wa west Africa au hata Wakenya na Waganda. Kuna yule Mganda Kaluuya namuona mara nyingi tu akitaja background yake na kuitaja Uganda tena yule ni kijana kuliko huyu mzee mnayesema ni Mtanzania.
 
huyu me nilitamani awe kwenye list ya arya stark ili amtobolee mbali na kale ka needle kake aliko pewa na john snow
 
Back
Top Bottom