Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Daaah big up kwake..Haya mashairi kama bado Kuna MWANAUME akisikiliza hatasaka wanae popote alikowaacha!!
BASI TENA!!
Remember me
Daddy, where ever you are remember me
In what ever you do I love you
Daddy where ever you are remember me
In what ever you do I love you
You left for the city many years ago
Promised to come back
And take care of us
Many years have gone by now
Still no sign of you Daddy
Mother died of a heart attack
Many years ago when she heard
That you were married again
Now, I'm the only one left
In the family
Lucky has what we call, ALIVE MUSIC.
muziki wake hautaweza kufa..
Maneno alichagua kuwasilisha HISIA zake,
yanafanya nyimbo zake kupumua,kula,kutembea,kuuliza,kujibu,kuliza.
AND ALL!!
Oh yes!.Huo uzushi sijajua nani aliuanzisha lakini ni uongo uliochafua sana heshima ya Lucky Dube.
Senzo yupo hai, aliugua malaria kali ni mwaka jana nimeona clip yake akisema amerudi rasmi.
Wauaji wa Lucky Dube walisema hawakujua ni yeye, walimfananisha na wanaijeria.
Mwanamziki pekee nimeanza kumsikiliza tokea nna miaka mitano. Sijawahi kuchoka kusikiliza nyimbo zake.
Nilifurahi zaidi aliposema havuti wala kutumia kilevi ikiwepo bangi. Akili yangu yote nilijua alikua anapuliza.
Anasema kama urastafarian ni kuvuta bangi au kusuka dreads, yeye sio rasta. Ila kama ni kujitambua, kutetea usawa, haki na kuishi kwa upendo yeye ni rastafarian.
Pia alikua muumini wa dhehebu lao kama la kikristo lakini ni local, likijulikana kama Shembe..alizikwa kwa ngozi ya ng'ombe.
Kubwa zaidi, nilikua natiwa moyo na jinsi alivyopambana hadi kufikia hatua ya kuwa mwanamuziki wa kimataifa.
kuna usalama lakini brotherUmefufuka
Hahaaaaa nachowapendea wanawake hata nyie hamjui mnapenda nini hasa kwa mwanaumeOh yes!.
Lucky was the reggae ya miaka hii.
Tuliopitwa na kizazi cha reggae za ki
Bob Marley.
Lucky alikuwa na reggae laini kimapigo ,but fierce kiuandishi.
Kwa wadada hasa,ilikuwa rahisi kumsikiliza Lucky kuliko Marley au Tosh.
Hao wengine walikuwa wagumu sana,although GREAT.!!
but Lucky alikuwa msweet kidogo..
Kuna Yale macho yake nayo kidogo ilikuwa inaleta tafran kidogo upande wa kikeni.
Mtusamehe tu.
Daaah big up kwake..
Tupia rylics za Don't cry
Kuna vile madrums zilikuwa zinagongwa before the second verse!Don't Cry"
Everytime I say I wanna go
I can tell you gonna cry
Everytime I say I wanna go
I can tell you gonna cry
Thinking of the lonely nights
(When I'm not there)
Thinking of the days
(When I've gone)
Thousands of people
Wanna see me
Millions are waiting
For the message
Billions are dying
For the message
I am going round the world
Spreading the message
I am going round the world
Spreading the word
Don't cry baby, don't cry
[Chorus:]
Don't cry
They wanna hear me saying!
Ayobayo
They wanna hear me hear me say
I've got you babe
They wanna hear me sayin
Together as one
They wanna hear me say
I'm a slave
Enjoy Mkwe
Hahhaha hahhaha Mkwe tulia kwanza!!Hahaaaaa nachowapendea wanawake hata nyie hamjui mnapenda nini hasa kwa mwanaume
Ahsante my mkwee.Don't Cry"
Everytime I say I wanna go
I can tell you gonna cry
Everytime I say I wanna go
I can tell you gonna cry
Thinking of the lonely nights
(When I'm not there)
Thinking of the days
(When I've gone)
Thousands of people
Wanna see me
Millions are waiting
For the message
Billions are dying
For the message
I am going round the world
Spreading the message
I am going round the world
Spreading the word
Don't cry baby, don't cry
[Chorus:]
Don't cry
They wanna hear me saying!
Ayobayo
They wanna hear me hear me say
I've got you babe
They wanna hear me sayin
Together as one
They wanna hear me say
I'm a slave
Enjoy Mkwe
Acha kabisa.Kuna vile madrums zilikuwa zinagongwa before the second verse!
Usingeweza kuyaona!Hahaaaaa aiseeee ndio nayaona leo..
Iceman 3D huyu chalii yupoUsalama upo kabisa mkuu
Matatizo hayo Mkwee.Mkweo wanasemaga yupo hivo...
Oooooh ,Kuna huu wimbo Good girl., Nina mtoto was kike na kwa kila nikiusikiliza huu wimbo naomba Mungu anijalie nimlee mwanangu katika maadili mazuri. Ona lyrics zake, the dude was a genius.
"Good Girl"
When you were a little girl
I had dreams and I had plans for you
As a single father I knew
There was gonna be turbulance
Along the way
I did not know that so soon
I'd have to stand on the side
Watch you go through life
Without my guidance you see
I wanted to be there when you cry
I wanted to be there when you smile
I wanted to be there when you play
I wanted to be there all your life
I would say it's wrong
She'd say it's right
Words got spoken since
I live in a glass house
I didn't want no stones to be thrown
I didn't want no blows to be thrown
But I would hate to see my...
[Chorus:]
Good girl go bad
Good girl go bad
Kuna mwingine ambao kaimba kwa hisia nahisi kuliko nyimbo zake zote.
Fugitive"
I've been sitting here for many days now
They've been looking for me for many days too
From where I'm sitting
I can see their angry faces
It's only a matter of time
They'll be on to me
The sirens, helicopters and tanks
The bloodhounds are on my trail, Oh God
Just in minutes
They'll be tearing me apart
If I don't do now
What I've been doing all my life
I'll be running... all my life
I was running... all my life
[Chorus:]
I'm the running man
The fugitive ...
My best Dube's songs.