PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 12,181
- 20,148
Simfahamu huyu..
Ingia YouTube, Kulee Dube live. Sasa hivi niko busy, baadae ntapandasha video zake hapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simfahamu huyu..
Mm huwa huwa nazipenda sana sana,Umenifungua mkuu..
Naishusha as follows:-
Waliomuua kweli hawakujua wanamuua nani?A legend with zero haters
Mantakhoff!Hapo tayari umeniacha mataa..
Umenipiga chenga ya messi
Nenda you tube: Senzo Mthethwa documentary uone jinsi Senzo anavyowalaani watu wanaosema amekufa!Nasikia ndo alichora mchoro wa kumuua Senzo
Nenda you tube: Senzo Mthethwa documentary uone jinsi Senzo anavyowalaani watu wanaosema amekufa!
Yuko hai anasema wakaonueshe basis kaburi lake..
Mkuu hiyo comment umeisoma????Lucky dube hajawai kuwa Rasta but nimwimbaji mzuri sana wa reggae, tofauti yake alikuwa hakiishi kile anacho kiimba. Dube alipokuja bongo aliwaita marasta wa bongo ni wachafu tena wananuka..! Rasta wa kweli hayupo hivyo. Inawezeka kweli alihusika na kifo cha senzo pengine ndiyo maana bad karma ilimpata.
Mkwee hiki kilikuwa kichwa aseeh!!Mkwee we mkorofii.
Niwekee rylics za Peanut butter
Sure.Mkwee hilo tuliache tu. He's already gone..
Apumzike kwa Amani.....Woow mkwe
Na mwanga wa milele umwangazie..