blackstarline
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 3,278
- 7,966
Kweli mkuu hata 2pac yupo hai..!Sio kila mwenye rasta ni muumini wa imani hiyo. Senzo is still alive, mbona hamsikii?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli mkuu hata 2pac yupo hai..!Sio kila mwenye rasta ni muumini wa imani hiyo. Senzo is still alive, mbona hamsikii?
Please, jaribu kutulia ndugu yangu.Rasta na bangi nikitu kimoja marasta wanaamini bangi ni saktamenti. Dube alikuwa anavuta bangi kwa siri akiwaona marasta wakweli wanao vuta anawaponda.. Kumbuka mentor wake alikuw Peter Tosh na Tosh siku zote alitaka bangi ialalishwa dunia nzima.
Sawa mkuu nimetuliaPlease, jaribu kutulia ndugu yangu.
Ubishi wangu ni nini?Wee mbishi....
Hakuwahi kuwaita rasta was bongo wachafu au wananuka, Lucky dube hakuwa mtu was maneno mbofumbofu kama hiyo.Lucky dube hajawai kuwa Rasta but nimwimbaji mzuri sana wa reggae, tofauti yake alikuwa hakiishi kile anacho kiimba. Dube alipokuja bongo aliwaita marasta wa bongo ni wachafu tena wananuka..! Rasta wa kweli hayupo hivyo. Inawezeka kweli alihusika na kifo cha senzo pengine ndiyo maana bad karma ilimpata.
Sawa mkuu isiwe vita!Hakuwahi kuwaita rasta was bongo wachafu au wananuka, Lucky dube hakuwa mtu was maneno mbofumbofu kama hiyo.
Na hajawahi kuhusika na kumuua Senzo.
Ile sauti ya kifo imekuachiaTrue hafu kwenye shoo alikua anaimba kwa hisia hadi analia kabisa. Kwakweli huyu ni msanii wangu 1 wa reggae.
Nataka nami niache Legacy hapa duniani watu wanikumbuke kwa mazuri
Am happy for you why nichukie nilijisikia vibaya sana na ule uzi wako. Mungu ni mwemaMungu mwema mno nimetoka mbali sana. Imeniachia..
Hujapendezwa??
Kibao cha Slave kimenifanya niache ulevi.