Lucky Dube ananifanya niipende imani ya Rastafarian, he was a saint..

Huyu jamaa alipofariki,katika Maeneo ya mkoa wa Kilimanjaro ilikua msiba mkubwa. Nakumbuka siku hiyo nilikua nimeanza mtihani wa NECTA kidato cha nne. Tulipomaliza mtihani wa asubuhi tulikaa vikundi kusimuliana matangopori yote tuliyoweza kufahamu kuhusu kuuawa kwa Lucky Dube. Yaani tulijisahau kama tuna pepa la mchana

Tuliporudi mtaani,nyimbo za Dube zilikua zinapigwa mfululizo katika kila kutuo cha redio na vijiweni(kijijini kwetu redio za TZ hazipatikani,tunasikiliza redio za Kenya tu). Huzuni ilionekana wazi mpaka kwa watoto wadogo

R.I.P Lucky Dube



Sent using Jamii Forums mobile app
 
mom..
 
lucky dube he was genius " nasikitika kwamba " hapewi heshima yake vile haswaaa inavyostahiki
 
Hatariii hafu sauti zilivyojipanga sasa kama kwaya ya mt.Yuda Thadei hapo ndio napopenda na biti lenye hisia kali
Haaaaaa mkuu, kwaya ya mwenye heri anwarite Makuburi
 
Write your reply...Mkuu kuna kitu inaitwa hold on,is not easy,realise,guns and roses na the hand that giventh.Huwa vinanituliza sana moyo wangu.
 
Hapo kwenye list ongezea "Victims" I like it

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…