Lucky Dube ananifanya niipende imani ya Rastafarian, he was a saint..

Lucky Dube ananifanya niipende imani ya Rastafarian, he was a saint..

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Posts
35,812
Reaction score
107,628
Salute..
Aisee naandika haya toka moyoni kabisa ndaaani kulee. Nampenda sana Lucky Dube nyimbo na mfumo wa maisha yake. Nimekua nasikiliza nyimbo,interview na shoo zake zinanivutia sana.
Katika nyimbo zake zote nilizowahi zisikia hakuna wimbo mbaya na usio na ujumbe wa kugusa.
Nyimbo kama
  • Peanut butter
  • Back to my root
  • Hand of giveth
  • I got you jah
  • House of exile
  • Slave
  • Remember me
  • No truth in world
  • Think about children
  • Don't Cry
  • Group area act
  • That is the way
  • Is this the way
  • Eyes of beholder
  • God bless the woman
  • Hold on
  • Keep knocking
  • Khululeka
  • Usizi
  • Crazy world
  • Prisoner
  • Feel irie
  • Jah live
  • Is not easy
  • Can't blame you
  • Don't say no
  • Children in the street.
  • N.k n.k
Hua nikisikiliza nyimbo zake napata msisimko wa ajabu sana na kufikiria jinsi Bara letu la Afrika tulikotoka na tulipo.
Kiukweli japo alikua ana mapungufu yake kama mwanadamu lakini nadhani alipo yupo mahali pazuri. Kutokana na juhudi kubwa alizofanya kuleta usawa miongoni mwa Watu wa rangi za mataifa mbalimbali pia kuchangia Liberation of African Continent. Niichojifunza toka kwake ni Kuishi vyema na kuwa mzarendo wa nchi yangu na bara letu kwa ujumla.

Lucky Dube miaka 11 sasa umetutoka lakini utaendelea kuishi moyoni mwangu daima, I wish mwanangu nimpe jina moja kati ya haya majina matatu (Nyerere,Lucky Dube, Da'Vinci)

"If you see Blackman suffering does it make you happy?
If you see Whiteman does it make you happy"

-LuckyDube_Hand of giveth
 
Alikuwa na kipaji cha pekee.
Muziki kwake ilikuwa ni andiko la kiroho.
Ukisoma mashairi yake ni kama unasoma Yohane 3:4-21(MFANO).
Lucky,aliweza kukuliza huku unacheza.
Aliongea maisha ya mwanadamu katika kiwango cha pekee kabisa.

Usizi"

Usizi emhlabeni
Izingane zilala zingadlile
Umama nobaba
Emsebenzini badiliziwe

Ubusuku bud'enganeni
Uma ingadlile

This part akiimba na ile sauti yake aiseee.
 
Alikuwa na kipaji cha pekee.
Music kwake ilikuwa ni andiko la kiroho.
Ukisoma mashairi yake ni kama unasoma Yohane 3:4-21(MFANO).
Lucky,aliweza kukuliza huku unacheza.
Aliongea maisha ya mwanadamu katika kiwango cha pekee kabisa.

Usizi"

Usizi emhlabeni
Izingane zilala zingadlile
Umama nobaba
Emsebenzini badiliziwe

Ubusuku bud'enganeni
Uma ingadlile

This part akiimba na ile sauti yake aiseee.
True hafu kwenye shoo alikua anaimba kwa hisia hadi analia kabisa. Kwakweli huyu ni msanii wangu 1 wa reggae.
Nataka nami niache Legacy hapa duniani watu wanikumbuke kwa mazuri
 
True hafu kwenye shoo alikua anaimba kwa hisia hadi analia kabisa. Kwakweli huyu ni msanii wangu 1 wa reggae.
Nataka nami niache Legacy hapa duniani watu wanikumbuke kwa mazuri
Huwezi sikiliza nyimbo za Lucky Dube bila kulia!
Hata alijua kuielezea furaha kihisia kiasi ulielewa furaha yake ukalia nae kwa furaha.
A legacy, japo dunia imekuwa ovu sana.
Wapo watu bado wanaamini Katika mazuri kushinda.
So iache tu,kuna watu itawavusha mahala fulani Katika maisha.
Watasema, "hiki nilifanya kwa hamasa hii"
Jina lako likabaki kukufanya hai hata katika umauti.
 
Naam Dube ananihamasisha kua Patriot wa nchi yangu mno.
Naomba tu uzima watu natamani siku moja mtu atamani kufanya kitu kutokana na mimi.
Don't cry na peanut butter zimeshanitoa chozi kiukweli.
 
Haya mashairi kama bado Kuna MWANAUME akisikiliza hatasaka wanae popote alikowaacha!!
BASI TENA!!

Remember me
Daddy, where ever you are remember me
In what ever you do I love you
Daddy where ever you are remember me
In what ever you do I love you

You left for the city many years ago
Promised to come back
And take care of us
Many years have gone by now
Still no sign of you Daddy
Mother died of a heart attack
Many years ago when she heard
That you were married again
Now, I'm the only one left
In the family

Lucky has what we call, ALIVE MUSIC.
muziki wake hautaweza kufa..
Maneno alichagua kuwasilisha HISIA zake,
yanafanya nyimbo zake kupumua,kula,kutembea,kuuliza,kujibu,kuliza.
AND ALL!!
 
Nasikia ndo alichora mchoro wa kumuua Senzo

Huo uzushi sijajua nani aliuanzisha lakini ni uongo uliochafua sana heshima ya Lucky Dube.

Senzo yupo hai, aliugua malaria kali ni mwaka jana nimeona clip yake akisema amerudi rasmi.

Wauaji wa Lucky Dube walisema hawakujua ni yeye, walimfananisha na wanaijeria.

Nilifurahi zaidi aliposema havuti wala kutumia kilevi ikiwepo bangi. Akili yangu yote nilijua alikua anapuliza.
Anasema kama urastafarian ni kuvuta bangi au kusuka dreads, yeye sio rasta. Ila kama ni kujitambua, kutetea usawa, haki na kuishi kwa upendo yeye ni rastafarian.

Pia alikua muumini wa dhehebu lao kama la kikristo lakini ni local, likijulikana kama Shembe..alizikwa kwa ngozi ya ng'ombe.

Kubwa zaidi, nilikua natiwa moyo na jinsi alivyopambana hadi kufikia hatua ya kuwa mwanamuziki wa kimataifa.
 
Unaijua track yake moja inaitwa "The one"?!
 
Naam Dube ananihamasisha kua Patriot wa nchi yangu mno.
Naomba tu uzima watu natamani siku moja mtu atamani kufanya kitu kutokana na mimi.
Don't cry na peanut butter zimeshanitoa chozi kiukweli.

Peanut butter kawimbo kafupi kenye hisia kali.

Anafurahisha ile style ya kuongea pale mwanzoni kilevi kilevi...the guy was talented.
 
Huo uzushi sijajua nani aliuanzisha lakini ni uongo uliochafua sana heshima ya Lucky Dube.

Senzo yupo hai, aliugua malaria kali ni mwaka jana nimeona clip yake akisema amerudi rasmi.

Wauaji wa Lucky Dube walisema hawakujua ni yeye, walimfananisha na wanaijeria.

Mwanamziki pekee nimeanza kumsikiliza tokea nna miaka mitano. Sijawahi kuchoka kusikiliza nyimbo zake.

Nilifurahi zaidi aliposema havuti wala kutumia kilevi ikiwepo bangi. Akili yangu yote nilijua alikua anapuliza.
Anasema kama urastafarian ni kuvuta bangi au kusuka dreads, yeye sio rasta. Ila kama ni kujitambua, kutetea usawa, haki na kuishi kwa upendo yeye ni rastafarian.

Pia alikua muumini wa dhehebu lao kama la kikristo lakini ni local, likijulikana kama Shembe..alizikwa kwa ngozi ya ng'ombe.

Kubwa zaidi, nilikua natiwa moyo na jinsi alivyopambana hadi kufikia hatua ya kuwa mwanamuziki wa kimataifa.
Naunga hoja mkuu..
Kiukweli huyu nathubutu kumuita mtakatifu..
 
Back
Top Bottom