Lucky Dube atengwe. Kipaji chake hakijawahi kutokea Afrika

Lucky Dube atengwe. Kipaji chake hakijawahi kutokea Afrika

Mi mi

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
2,748
Reaction score
5,112
Afrika kipaji hiki kilikuwa bora kupita maelezo.

Sikiliza hii Usizi wimbo mfupi lakini ujumbe mzito melody kali.

Usizi emhlabeni
Izingane zilala zingadlile
Umama nobaba
Emsebenzini badiliziwe

Ubusuku bud'enganeni
Uma ingadlile

[English:]

Misery in the world
Children go to bed hungry
Mom and dad laid off

The night is long to a hungry child
 
Afrika kipaji hiki kilikuwa bora kupita maelezo.

Sikiliza hii Usizi wimbo mfupi lakini ujumbe mzito melody kali.
View attachment 3221813 Usizi emhlabeni
Izingane zilala zingadlile
Umama nobaba
Emsebenzini badiliziwe

Ubusuku bud'enganeni
Uma ingadlile

[English:]

Misery in the world
Children go to bed hungry
Mom and dad laid off

The night is long to a hungry child
We jamaa umenipa furaha asubuhi yote hii daaah nimeichukua nitaaikiliza na wife tukiwa tunaenda church ahsante sana mkuu
 
Luck Dube alikua kipaji cha Afrika, SA hawakutaka kumpa jina kubwa kwa sababu ya ubaguzi wao maana jamaa alitokea Zimbabwe alilelewa na Bibi mmoja huko ndabeni akichunga ng'ombe katika makuzi yake kwa hiyo nyimbo za kuteseka akiimba ni maisha aliyopitia sio kuwa kasimuliwa alikua kichwa sana huyu jamaa nilifika kwenye studio yake kabla hajafariki jamaa kweli atengwe kabisa..
 
Luck Dube alikua kipaji cha Afrika SA hawakutaka kumpa jina kubwa kwa sababu ya ubaguzi wao maana jamaa alitokea Zimbabwe alilelewa na Bibi mmoja huko ndabeni akichunga ng'ombe katika makuzi yake kwa hiyo nyimbo za kuteseka akiimba ni maisha aliyopotia sio kuwa kasimuliwa alikua kichwa sana huyu jamaa..
Kumbe alikuwa anaimba kile alikionja kwenye maisha yake daaah 🥹🥹🥹
 
Na ameimba nyimbo nyingi sana za kuwaponda kaburu kama wanajenga jela nyingi badala ya kujenga shule au hospital au I'm a Prisoner lakini Wazulu wanampotezea kabisa kama hajausika kwenye ukombozi wao kupitia muziki..
Aisee japo Kuna kuzazi nyuma kinaweza kuja kuelewa mara nyingi watu hupata ufahamu na umuhimu wako ukiwa tayari ulisharudi Kwa Muumba
 
Afrika kipaji hiki kilikuwa bora kupita maelezo.

Sikiliza hii Usizi wimbo mfupi lakini ujumbe mzito melody kali.
View attachment 3221813 Usizi emhlabeni
Izingane zilala zingadlile
Umama nobaba
Emsebenzini badiliziwe

Ubusuku bud'enganeni
Uma ingadlile

[English:]

Misery in the world
Children go to bed hungry
Mom and dad laid off

The night is long to a hungry child
Huu wimbo naimbaga uongo mimi,na nakuwa nimezama kwelikweli nikiwa naimba😃😃😃
 
Afrika kipaji hiki kilikuwa bora kupita maelezo.

Sikiliza hii Usizi wimbo mfupi lakini ujumbe mzito melody kali.
View attachment 3221813 Usizi emhlabeni
Izingane zilala zingadlile
Umama nobaba
Emsebenzini badiliziwe

Ubusuku bud'enganeni
Uma ingadlile

[English:]

Misery in the world
Children go to bed hungry
Mom and dad laid off

The night is long to a hungry child
Asante sana Mkuu. Umenikumbusha mbali wakati nakua hizi ndio nyimbo tumekuzwa nazo uchagani.
 
Sawa, lakini sasa uchagani na "umhsebhenzi kumanje zingazidile umanjane" si kutengeneza unnesessary confussion kwa mama Nifah bure? Ataelewa nini sasa? Au cassete yenu ilikuwa inatafsiri?
Sasa reggae karibu zote za Dube si kuna maneno ya kwao (Kizulu) Mkuu? Na tulikuwa tunasikiliza hivyohivyo.

Music is all about melodies na sio maneno, nafikiri unajua hili umesema tu kama utani.
 
Back
Top Bottom