Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Watu wa Mpumalanga na Polokwane wengi ni Washona na wandebele wa Zimbabwe na hapa wa Zimbabwe ni kama raia tu ndio maana Serikali ya SA inapigana sana kupunguza gepu la wao kuingia maana wakishaingia ni rahisi kuchukua ndugu yake yeyote aliepo hapa na kupewa Utaia hapa swala la uraia sio gumu sana kama utafata vigezo vyao..Lakini historia mbona inasema Lucky Dube amezaliwa Mpumalanga na mwanamama anaitwa Sarah Dube mnamo Agosti 3, 1964... Kwahiyo kidogo ni kama umenichanganya hapo kwenye uzimbabwe wake.
Unaweza ukaelezea kidogo hapo mkuu?