Lucky Dube atengwe. Kipaji chake hakijawahi kutokea Afrika

Lucky Dube atengwe. Kipaji chake hakijawahi kutokea Afrika

Hiyo mid 30’s tu bado Mkuu japo ndio naikaribia.

Hizi walikuwa wanazipiga wajomba zangu kama dawa vile, asubuhi hadi usiku na ni tokea nikiwa mdogo hadi teen.
Hapo sawa Mkuu nimekuelewa..
 
Huu wimbo naimbaga uongo mimi,na nakuwa nimezama kwelikweli nikiwa naimba😃😃😃
Tena unaimba saa nao ukiimba... Hudhubutu kuimba mwenyewe bila kufuatilia sauti ya mziki 😁
 
  • Thanks
Reactions: ABJ
Afrika kipaji hiki kilikuwa bora kupita maelezo.

Sikiliza hii Usizi wimbo mfupi lakini ujumbe mzito melody kali.

View attachment 3221813 Usizi emhlabeni
Izingane zilala zingadlile
Umama nobaba
Emsebenzini badiliziwe

Ubusuku bud'enganeni
Uma ingadlile

[English:]

Misery in the world
Children go to bed hungry
Mom and dad laid off

The night is long to a hungry child

.Craxy world
.Victims
. Free hungry Man or Well fed Slave?
.Children in the Street
.Group Areas Act
.Keep Knocking
.Woman of This World
.Born to Suffer
.Cool Down Baby
 
Afrika kipaji hiki kilikuwa bora kupita maelezo.

Sikiliza hii Usizi wimbo mfupi lakini ujumbe mzito melody kali.

View attachment 3221813 Usizi emhlabeni
Izingane zilala zingadlile
Umama nobaba
Emsebenzini badiliziwe

Ubusuku bud'enganeni
Uma ingadlile

[English:]

Misery in the world
Children go to bed hungry
Mom and dad laid off

The night is long to a hungry child
Sijawahi kumlinganisha Philp Dube na mtu mwingine. He is Exceptional
 
Afrika kipaji hiki kilikuwa bora kupita maelezo.

Sikiliza hii Usizi wimbo mfupi lakini ujumbe mzito melody kali.

View attachment 3221813 Usizi emhlabeni
Izingane zilala zingadlile
Umama nobaba
Emsebenzini badiliziwe

Ubusuku bud'enganeni
Uma ingadlile

[English:]

Misery in the world
Children go to bed hungry
Mom and dad laid off

The night is long to a hungry child
Sijawahi kumlinganisha Philp Dube na mtu mwingine. He is Exceptional
 

Jamaa ni kipaji halisi.

Kupitia nyimbo zake, nimemfanya hadi Bibi yenu naye kupenda kusikiliza kwenye gari akiwa anaendesha ama akiwa nyumbani weekend.

Kweli udongo umefukia vipaji na ndoto za watu wengi

Will meet again in paradise 🙏🙏
 
I have watched one his interview ,,he was trying to explain why he was called "lucky "

Jamaa alisema hivi "lucky " jina kama lilivyo jina la Johnson akaendelee na dube ni jina la baba yake ,,, hivyo yeye anaitwa Lucky dube

Akasema pindi alipozaliwa akiwa na miaka kama mmoja (akiwa hata hajapewa jina ) mama yake alianza kuumwa bahati mbaya naye pia akaanza kuumwa sana kwa muda mrefu kidogo ...

Anasema kila mtu alienda kumuona yeye akiwa anaumwa alijua angekufa ,,, kwa bahati nzuri hakufa hivyo watu waliokuwa wanaenda kumuona walishia kusema " he is lucky that he didnt die " others wakaishia kusema tu " he's lucky " ever since then kila mtu akawa anamuita lucky ,, lucky lucky hivyo ndiyo alivyo lipata jina lake ...

Hivyo nachoweza kusema huyu jamaa alikuwa special yeye alizaliwa kuwafurahisha watu kwa kupitia kuimba na hakika kazi hiyo aliitendea haki ,,, alisha wahi mtoa machozi raisi wa S.A bwana Nelson mandela kwa kupitia wimbo wake wa "Home of exile " wimbo huu ulikuwa zawadi kwa bwana mandela na wote waliokuwa wanapinga mambo ya ubaguzi ambao walikuwa mafichoni wakiendelwa na mikaki ya kulikomboa taifa lao ...
 
Asante sana Mkuu. Umenikumbusha mbali wakati nakua hizi ndio nyimbo tumekuzwa nazo uchagani.
Hizo nyimbo zinanikumbusha nikiwa naenda Arusha kutokea Moshi... yaani ndo mmevuka tu njiapanda ya Machame mmeanza kona za Mto Kikavu unatokea mzozo wa konda na abiria halafu dereva naye anageuka nyuma kuingilia huo ugomvi... ikumbukwe hapo Coaster ipo kasi vibaya mno.
 
Afrika kipaji hiki kilikuwa bora kupita maelezo.

Sikiliza hii Usizi wimbo mfupi lakini ujumbe mzito melody kali.

View attachment 3221813 Usizi emhlabeni
Izingane zilala zingadlile
Umama nobaba
Emsebenzini badiliziwe

Ubusuku bud'enganeni
Uma ingadlile

[English:]

Misery in the world
Children go to bed hungry
Mom and dad laid off

The night is long to a hungry child

kumbuka kuna mwamba wa Côte d'Ivoire-Alpha Blondy 😎
 
Luck Dube alikua kipaji cha Afrika, SA hawakutaka kumpa jina kubwa kwa sababu ya ubaguzi wao maana jamaa alitokea Zimbabwe alilelewa na Bibi mmoja huko ndabeni akichunga ng'ombe katika makuzi yake kwa hiyo nyimbo za kuteseka akiimba ni maisha aliyopitia sio kuwa kasimuliwa alikua kichwa sana huyu jamaa nilifika kwenye studio yake kabla hajafariki jamaa kweli atengwe kabisa..
Lakini historia mbona inasema Lucky Dube amezaliwa Mpumalanga na mwanamama anaitwa Sarah Dube mnamo Agosti 3, 1964... Kwahiyo kidogo ni kama umenichanganya hapo kwenye uzimbabwe wake.

Unaweza ukaelezea kidogo hapo mkuu?
 
Sasa reggae karibu zote za Dube si kuna maneno ya kwao (Kizulu) Mkuu? Na tulikuwa tunasikiliza hivyohivyo.

Music is all about melodies na sio maneno, nafikiri unajua hili umesema tu kama utani.
Dube nyimbo zake nyingi za rege ameimba kithungu wala si kizulu hasa aliposhift kutoka kwenye mbaqanga, (huu ni muziki wa asili ya huko south na ndio alianza nao) na mwaka 1984 ndio aliachia mkwaju wake wa kwanza wa rege nadhani ni rastas never die kama sijakosea and from there remaining was history... Alibast like a bomb puffuuuuuuuuu world wide 😅
 
Back
Top Bottom