Lucky Dube atengwe. Kipaji chake hakijawahi kutokea Afrika

Mi mi

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
2,748
Reaction score
5,112
Afrika kipaji hiki kilikuwa bora kupita maelezo.

Sikiliza hii Usizi wimbo mfupi lakini ujumbe mzito melody kali.

Your browser is not able to play this audio.
Usizi emhlabeni
Izingane zilala zingadlile
Umama nobaba
Emsebenzini badiliziwe

Ubusuku bud'enganeni
Uma ingadlile

[English:]

Misery in the world
Children go to bed hungry
Mom and dad laid off

The night is long to a hungry child
 
We jamaa umenipa furaha asubuhi yote hii daaah nimeichukua nitaaikiliza na wife tukiwa tunaenda church ahsante sana mkuu
 
Luck Dube alikua kipaji cha Afrika, SA hawakutaka kumpa jina kubwa kwa sababu ya ubaguzi wao maana jamaa alitokea Zimbabwe alilelewa na Bibi mmoja huko ndabeni akichunga ng'ombe katika makuzi yake kwa hiyo nyimbo za kuteseka akiimba ni maisha aliyopitia sio kuwa kasimuliwa alikua kichwa sana huyu jamaa nilifika kwenye studio yake kabla hajafariki jamaa kweli atengwe kabisa..
 
Kumbe alikuwa anaimba kile alikionja kwenye maisha yake daaah πŸ₯ΉπŸ₯ΉπŸ₯Ή
 
Kumbe alikuwa anaimba kile alikionja kwenye maisha yake daaah πŸ₯ΉπŸ₯ΉπŸ₯Ή
Na ameimba nyimbo nyingi sana za kuwaponda kaburu kama wanajenga jela nyingi badala ya kujenga shule au hospital au I'm a Prisoner lakini Wazulu wanampotezea kabisa kama hajausika kwenye ukombozi wao kupitia muziki..
 
Na ameimba nyimbo nyingi sana za kuwaponda kaburu kama wanajenga jela nyingi badala ya kujenga shule au hospital au I'm a Prisoner lakini Wazulu wanampotezea kabisa kama hajausika kwenye ukombozi wao kupitia muziki..
Aisee japo Kuna kuzazi nyuma kinaweza kuja kuelewa mara nyingi watu hupata ufahamu na umuhimu wako ukiwa tayari ulisharudi Kwa Muumba
 
Huu wimbo naimbaga uongo mimi,na nakuwa nimezama kwelikweli nikiwa naimbaπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Asante sana Mkuu. Umenikumbusha mbali wakati nakua hizi ndio nyimbo tumekuzwa nazo uchagani.
 
Sawa, lakini sasa uchagani na "umhsebhenzi kumanje zingazidile umanjane" si kutengeneza unnesessary confussion kwa mama Nifah bure? Ataelewa nini sasa? Au cassete yenu ilikuwa inatafsiri?
Sasa reggae karibu zote za Dube si kuna maneno ya kwao (Kizulu) Mkuu? Na tulikuwa tunasikiliza hivyohivyo.

Music is all about melodies na sio maneno, nafikiri unajua hili umesema tu kama utani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…