Hiyo mid 30βs tu bado Mkuu japo ndio naikaribia.Ina maana sister umefika 40 yrs maana huu ni wa kitambo sana..
Hapo sawa Mkuu nimekuelewa..Hiyo mid 30βs tu bado Mkuu japo ndio naikaribia.
Hizi walikuwa wanazipiga wajomba zangu kama dawa vile, asubuhi hadi usiku na ni tokea nikiwa mdogo hadi teen.
Tena unaimba saa nao ukiimba... Hudhubutu kuimba mwenyewe bila kufuatilia sauti ya mziki πHuu wimbo naimbaga uongo mimi,na nakuwa nimezama kwelikweli nikiwa naimbaπππ
Afrika kipaji hiki kilikuwa bora kupita maelezo.
Sikiliza hii Usizi wimbo mfupi lakini ujumbe mzito melody kali.
View attachment 3221813 Usizi emhlabeni
Izingane zilala zingadlile
Umama nobaba
Emsebenzini badiliziwe
Ubusuku bud'enganeni
Uma ingadlile
[English:]
Misery in the world
Children go to bed hungry
Mom and dad laid off
The night is long to a hungry child
Sijawahi kumlinganisha Philp Dube na mtu mwingine. He is ExceptionalAfrika kipaji hiki kilikuwa bora kupita maelezo.
Sikiliza hii Usizi wimbo mfupi lakini ujumbe mzito melody kali.
View attachment 3221813 Usizi emhlabeni
Izingane zilala zingadlile
Umama nobaba
Emsebenzini badiliziwe
Ubusuku bud'enganeni
Uma ingadlile
[English:]
Misery in the world
Children go to bed hungry
Mom and dad laid off
The night is long to a hungry child
Sijawahi kumlinganisha Philp Dube na mtu mwingine. He is ExceptionalAfrika kipaji hiki kilikuwa bora kupita maelezo.
Sikiliza hii Usizi wimbo mfupi lakini ujumbe mzito melody kali.
View attachment 3221813 Usizi emhlabeni
Izingane zilala zingadlile
Umama nobaba
Emsebenzini badiliziwe
Ubusuku bud'enganeni
Uma ingadlile
[English:]
Misery in the world
Children go to bed hungry
Mom and dad laid off
The night is long to a hungry child
manka roho mbayaAsante sana Mkuu. Umenikumbusha mbali wakati nakua hizi ndio nyimbo tumekuzwa nazo uchagani.
πππππjamaniπππ Nilitegemea tu kuwa lazima kituko kiwepo JF utahuzunika kidogo na utacheka tena
πππNdiyooTena unaimba saa nao ukiimba... Hudhubutu kuimba mwenyewe bila kufuatilia sauti ya mziki π
Nna nyimbo zake zaidi ya 20View attachment 3222215
Jamaa ni kipaji halisi.
Kupitia nyimbo zake, nimemfanya hadi Bibi yenu naye kupenda kusikiliza kwenye gari akiwa anaendesha ama akiwa nyumbani weekend.
Kweli udongo umefukia vipaji na ndoto za watu wengi
Will meet again in paradise ποΏ½
Hizo nyimbo zinanikumbusha nikiwa naenda Arusha kutokea Moshi... yaani ndo mmevuka tu njiapanda ya Machame mmeanza kona za Mto Kikavu unatokea mzozo wa konda na abiria halafu dereva naye anageuka nyuma kuingilia huo ugomvi... ikumbukwe hapo Coaster ipo kasi vibaya mno.Asante sana Mkuu. Umenikumbusha mbali wakati nakua hizi ndio nyimbo tumekuzwa nazo uchagani.
Afrika kipaji hiki kilikuwa bora kupita maelezo.
Sikiliza hii Usizi wimbo mfupi lakini ujumbe mzito melody kali.
View attachment 3221813 Usizi emhlabeni
Izingane zilala zingadlile
Umama nobaba
Emsebenzini badiliziwe
Ubusuku bud'enganeni
Uma ingadlile
[English:]
Misery in the world
Children go to bed hungry
Mom and dad laid off
The night is long to a hungry child
Jamaa ni talented sanaNna nyimbo zake zaidi ya 20
Lakini historia mbona inasema Lucky Dube amezaliwa Mpumalanga na mwanamama anaitwa Sarah Dube mnamo Agosti 3, 1964... Kwahiyo kidogo ni kama umenichanganya hapo kwenye uzimbabwe wake.Luck Dube alikua kipaji cha Afrika, SA hawakutaka kumpa jina kubwa kwa sababu ya ubaguzi wao maana jamaa alitokea Zimbabwe alilelewa na Bibi mmoja huko ndabeni akichunga ng'ombe katika makuzi yake kwa hiyo nyimbo za kuteseka akiimba ni maisha aliyopitia sio kuwa kasimuliwa alikua kichwa sana huyu jamaa nilifika kwenye studio yake kabla hajafariki jamaa kweli atengwe kabisa..
Dube nyimbo zake nyingi za rege ameimba kithungu wala si kizulu hasa aliposhift kutoka kwenye mbaqanga, (huu ni muziki wa asili ya huko south na ndio alianza nao) na mwaka 1984 ndio aliachia mkwaju wake wa kwanza wa rege nadhani ni rastas never die kama sijakosea and from there remaining was history... Alibast like a bomb puffuuuuuuuuu world wide πSasa reggae karibu zote za Dube si kuna maneno ya kwao (Kizulu) Mkuu? Na tulikuwa tunasikiliza hivyohivyo.
Music is all about melodies na sio maneno, nafikiri unajua hili umesema tu kama utani.