Nisaidie huu wimbo wa Romeo and Juliet
Waptrick.Hizi lyrics unapata wap man.....nahtaj xn
I got it...
The message down here is so powerful.
Ukienda: Lucky Dube – How Will I Know? Lyrics | Genius Lyrics utapata lyrics zake zote.Waptrick.
Wimbo wa hold on, hatari sana anavyomuambia mama yake, hata nimesahau upo kwny album gani.
I knew exactly what you are going through.
I just didn't have the right to discuss your problems.
I saw you struggling for our education.
I saw you struggling to get us clothes to wear...mama
This man you got married to is daddy alive
Over the years I've asked myself many qns.
Is he my really daddy or was I adopted?
(Hold on, just a little bit long now.)
You were a laughing stock, in a community.
The press didn't rest making news out of you mama.
Now its the time to show them ooh...
He who laughs last last the best, thats the way its mama.
Kwa wimbo huu, MUNGU awainue wanawake wanaopambana kuhakikisha maisha ya wale wanaowategemea yanaenda vyema.
Toka sijaanza chekechea nasikiliza nyimbo zake, nikaanza elimu ya msingi, nasikiliza nyimbo zake, nikaenda sekondari, nipo na Lucky Dube, A level elimu yangu ya juu kabisa, nimeamvatana na nyimbo za huyu nguli, nikaanza ajira ya kwanza, ndio nikawa nazifaidi vizuri kwenye music system yakununua kwa pesa yangu huku naelewa mistari ya kizungu...
Album ya Trinity ilikua na mapinduzi makubwa sana kwenye mziki wa Lucky Dube, ilikua reggae yenye midundo kama blues, mziki mnene ulioshiba, sikiliza nyimbo kama God blessed the women, Rastama prayer, Big boys dont cry, Puppet master utagundua nnachokisema.
Kitu ambacho kilinishangaza ni yeye kusema havuti bangi na kuwa rasta sio lazima uvute bangi licha ya mkmi kuamini kwamba alikya mtumiaji wa hiyo bidhaa.
Alikua na vifaa vingi kiasi kwamba alipokuja Tanzania, havikutosha kufungwa vyote.
Kikubwa nilichojifunza kwake ni kutokulata tamaa na kuendeleza unachokipenda licha ya kupitia vikwazo na misukosuko..
Hold on, House of exile, Victim, No true in the world (anakwambia pastor anahubiri hadi machozi yanatoka lakini usiku he anafanya uasi wa kufa mtu..)
Alikua muumini wa Shembe, alizikwa kwa ngozi ya ng'ombe.
Nitaganya kosa kubwa nisipotia neno hapa
Do you feel like we do? Ha ha ha ha....anasema matatizo yapo tangu siku Papa yupo kijana mdogo akitumikia altale.Do you feel Irie?
Kweli kabisa, alikuwa ni mwanamuziki wa kipekee zaidi. Ndiye mwanamuziki niliyemhusudu kipindi cha utotoni kuliko nilivyomhusudu Bob Marley.
Wimbo wa hold on, hatari sana anavyomuambia mama yake, hata nimesahau upo kwny album gani.
I knew exactly what you are going through.
I just didn't have the right to discuss your problems.
I saw you struggling for our education.
I saw you struggling to get us clothes to wear...mama
This man you got married to is daddy alive
Over the years I've asked myself many qns.
Is he my really daddy or was I adopted?
(Hold on, just a little bit long now.)
You were a laughing stock, in a community.
The press didn't rest making news out of you mama.
Now its the time to show them ooh...
He who laughs last last the best, thats the way its mama.
Kwa wimbo huu, MUNGU awainue wanawake wanaopambana kuhakikisha maisha ya wale wanaowategemea yanaenda vyema.
Do you feel like we do? Ha ha ha ha....anasema matatizo yapo tangu siku Papa yupo kijana mdogo akitumikia altale.