Lucky Dube: Miaka kumi(10) tangu auawe

Lucky Dube: Miaka kumi(10) tangu auawe

Toka sijaanza chekechea nasikiliza nyimbo zake, nikaanza elimu ya msingi, nasikiliza nyimbo zake, nikaenda sekondari, nipo na Lucky Dube, A level elimu yangu ya juu kabisa, nimeambatana na nyimbo za huyu nguli, nikaanza ajira ya kwanza, ndio nikawa nazifaidi vizuri kwenye music system yakununua kwa pesa yangu huku naelewa mistari ya kizungu...

Album ya Trinity ilikua na mapinduzi makubwa sana kwenye mziki wa Lucky Dube, ilikua reggae yenye midundo kama blues, mziki mnene ulioshiba, sikiliza nyimbo kama God blessed the women, Rastaman prayer, Big boys dont cry, Purppet master na Feel Irie utagundua nnachokisema.

Kitu ambacho kilinishangaza ni yeye kusema havuti bangi na kuwa rasta sio lazima uvute bangi licha ya mimi kuamini kwamba alikua mtumiaji wa hiyo bidhaa. Kumbe zile fujo zote jukwaani ilikua ni kutomana na kuupenda kazi yake.

Alikua na vifaa vingi kiasi kwamba alipokuja Tanzania, havikutosha kufungwa vyote.

Kikubwa nilichojifunza kwake ni kutokulata tamaa na kuendeleza unachokipenda licha ya kupitia vikwazo na misukosuko..

Hold on, House of exile, Victim, No true in the world (anakwambia pastor anahubiri hadi machozi yanatoka lakini usiku he anafanya uasi wa kufa mtu..)

Alikua muumini wa dhebu la kikristo la kienyeji lijulikanalo kama Shembe, kwa taratibu za hiyo dini, alizikwa kwa ngozi ya ng'ombe kama sanda.
Na aliimba wimbo wa Shembe is the way!
 
Wimbo wa hold on, hatari sana anavyomuambia mama yake, hata nimesahau upo kwny album gani.
I knew exactly what you are going through.
I just didn't have the right to discuss your problems.
I saw you struggling for our education.
I saw you struggling to get us clothes to wear...mama
This man you got married to is daddy alive
Over the years I've asked myself many qns.
Is he my really daddy or was I adopted?
(Hold on, just a little bit long now.)
You were a laughing stock, in a community.
The press didn't rest making news out of you mama.
Now its the time to show them ooh...
He who laughs last last the best, thats the way its mama.
Kwa wimbo huu, MUNGU awainue wanawake wanaopambana kuhakikisha maisha ya wale wanaowategemea yanaenda vyema.
 
Hold On ni wimbo unapatikana kwenye moja ya album zake zilizompa mafanikio makubwa sana. Album hiyo inaitwa...'House of Exile'...
 
Toka sijaanza chekechea nasikiliza nyimbo zake, nikaanza elimu ya msingi, nasikiliza nyimbo zake, nikaenda sekondari, nipo na Lucky Dube, A level elimu yangu ya juu kabisa, nimeamvatana na nyimbo za huyu nguli, nikaanza ajira ya kwanza, ndio nikawa nazifaidi vizuri kwenye music system yakununua kwa pesa yangu huku naelewa mistari ya kizungu...

Album ya Trinity ilikua na mapinduzi makubwa sana kwenye mziki wa Lucky Dube, ilikua reggae yenye midundo kama blues, mziki mnene ulioshiba, sikiliza nyimbo kama God blessed the women, Rastama prayer, Big boys dont cry, Puppet master utagundua nnachokisema.

Kitu ambacho kilinishangaza ni yeye kusema havuti bangi na kuwa rasta sio lazima uvute bangi licha ya mkmi kuamini kwamba alikya mtumiaji wa hiyo bidhaa.

Alikua na vifaa vingi kiasi kwamba alipokuja Tanzania, havikutosha kufungwa vyote.

Kikubwa nilichojifunza kwake ni kutokulata tamaa na kuendeleza unachokipenda licha ya kupitia vikwazo na misukosuko..

Hold on, House of exile, Victim, No true in the world (anakwambia pastor anahubiri hadi machozi yanatoka lakini usiku he anafanya uasi wa kufa mtu..)

Alikua muumini wa Shembe, alizikwa kwa ngozi ya ng'ombe.

Binafsi nilikuwa naamini Dube anatumia marijuana ama pombe kutokana na fujo zake kwenye jukwaa, na nilikuja kustaajabu zaidi pale alipoalikwa kwenye ile Big Brother Africa kuwatembelea washiriki wa Big Brother Africa (enzi za akina Mwisho Mwampamba). Dube alipokaribishwa glass ya pombe, alikataa kabisa kwa unyenyekevu na kusema huwa hatumii. Kitu kingine ambacho all rastas have in common, ni kwamba alikuwa mnyenyekevu sana licha ya umaarufu na mafanikio makubwa.
 
Wimbo wa hold on, hatari sana anavyomuambia mama yake, hata nimesahau upo kwny album gani.
I knew exactly what you are going through.
I just didn't have the right to discuss your problems.
I saw you struggling for our education.
I saw you struggling to get us clothes to wear...mama
This man you got married to is daddy alive
Over the years I've asked myself many qns.
Is he my really daddy or was I adopted?
(Hold on, just a little bit long now.)
You were a laughing stock, in a community.
The press didn't rest making news out of you mama.
Now its the time to show them ooh...
He who laughs last last the best, thats the way its mama.
Kwa wimbo huu, MUNGU awainue wanawake wanaopambana kuhakikisha maisha ya wale wanaowategemea yanaenda vyema.

Mkuu upo sawa ila mwishoni hayo maneno pia yapo kwenye wimbo wa God blessed the Women, album ya Trinity.
 
Do you feel like we do? Ha ha ha ha....anasema matatizo yapo tangu siku Papa yupo kijana mdogo akitumikia altale.

Since when the Pope was altar boy...alikua mbunifu sana.

Kuna onyesho moja aliimba wimbo wa No truth in the world, amechanganya kama style ya kijamaica ule mziki wa akina Sabba Ranks.
 
Back
Top Bottom