Lucky Dube: Miaka kumi(10) tangu auawe

Sijui kama ni kweli, nimewahi
Sijui kama ni kweli, nimewahi kusikia Lucky ndiye mhusika wa njama za kumwua Senzo kwa sababu ya mzozo wa kibiashara (ushindani). Na kwamba hata hao waliomwua walikuwa wakilipa kisasi ingawa walijifanya nia yao ni kupora gari.
Kuna makala moja iko humu JF, mtoa makala hiyo anadai Senzo hajafa. Niliwahi andika kueleza mawazo yangu haya lakini alinipa link nisome kuhusu maisha na hatima ya Senzo. Hadi leo nashindwa kujua ni kweli Senzo hakufa? Na kama alikufa, je kuna uhusiano wowote kati ya kifo cha Senzo na mzozo wa kibiashara kati yake na Lucky? Je, ni kweli kifo cha Lucky ni kisasi kutokana na kifo cha Senzo? Na mwisho, Lucky alikuwa kwenye mtandao wa freemason kama ambavyo inasemekana alikuwa humo Bob Marly?
 


Ahsante sana kwa mchango wako mkuu. Unaweza kunitajia jina kamili la Senzo ukanipa kwa ufupi alijiunga lini na bendi ya Lucky Dube na aliondoka lini? Achilia mbali kifo chake. Ukifanikiwa kuweka habari yake hapa, angalia mchango wake kwenye mziki wa Dube kisha upime kama angeweza kuwa tishio kibiashara kiasi cha Dube kuamua kupoteza uhai wake.
 
Kimsingi siwezi. Sijawa na uelewa mpana kuhusiana na hilo. Nilichobahatika kufahamu ni kutoelewana kimaslahi kati yao wakati Senzo yuko chini ya Lucky, jambo lililomfanya Senzo aanzishe kundi lake. Yasemekana (sina data) Senzo alipotoa album zile mbili haraka haraka ziliathiri sana mauzo ya Lucky. Hicho kikawa chanzo cha uhasama kati yao. Tafadhali naomba nieleweshe kwa kina.
 

Hebu kama unaweza ndugu, tusaidie chanzo chako kilichokupa taarifa kuwa kulikuwa na kutokuelewana kimaslahi kati ya Senzo na Dube.
Kwa taarifa zilizopo zinazomhusu Dube, Senzo hajawahi kufanya nae kazi labda kama alikuwa anatumia jina na sura nyingine.
Pia ukumbuke waafrika kusini ni kama wa laana hivi, kuna mwanamziki wa Mafikizolo walishawahi kumuua pia kwasababu za kipumbavu kabisa!! K
 
Luck Dube R.I.P jamaa alikufa na Raggae yake, hawa wapya ni wababaishaji tu
 
duh!
 
Wapi mkuu,hivi leo hii hata tukichukua simple analysis senzo ameuza nakala ngapi ukilinganisha na lucky dube???kwa kipindi hicho unachosema walikuwa ktk ushindani.

Ukumbuke pia story nyingi huwa zinaibuka wakati kama ule kwa malengo chanya pia,kukuza atension na kuongeza mauzo.
 

Genre: Reggae
Albums: Worshipping You Love, Irene, Senzo, I Am Sorry, The Best Of Senza
Record labels: The CCP Record Company (Pty) Limited, EMI South Africa
Songs
Who's Gonna Care?
Worshipping You Love · 2010

Nothing But Prayer
Senzo · 2008

Ngixolele
Irene · 2010


Sasa kama Dube aliuwawa 2007, Senzo Mthethwa ameendelea kutoa album 2010, hauoni kama huo ni uzushi?
 
nimependa ulivoweka source big up sana mkuu bandiko limekaa vyema

Asante ndugu. Unajua kuna miiko ya uandishi ambayo mtu anayeifahamu ni lazima aitii. Haiwezekani makala kama hii mtu awe aliamka na kuiandika tu, huyo atakuwa muongo sana na kuna sheria zinamfunga mtu kwa kufanya plagiarism. Ila mbali na hilo la plagiarism, lazima mtu uwe muungwana kwa kuonesha appreciation. Naamini angekuwa mtu mwingine hapo, si ajabu asingesema chanzo cha makala hiyo ni wapi ili tu kuhadaa watu kuwa yeye kaitoa kichwani mwake. Ha ha ha ha....Watanzania tuna shida sana.
 

Senzo alipata maambukizi ya cerebral malaria, kitu kilichosababisha kupoteza sauti. Mwenyewe huyu hapa.

https://www.facebook.com/video.php?v=1063954897023421
 
Umeona ndugu yangu!!
Watu hasa wa TZ wametunga hii habari ya Senzo! Kuna siku mtangazaji wa redio moja hivi akatangaza wimbo wa usizi uliimbwa na Senzo!!! Nikashangaa sana sana, kwani aliyeimba ni huyu Cele

No, hii habari nimeifuatilia, inaonesha waliovumisha ni wanahabari wa South Africa. Kifupi baada ya kuifuatilia, nimepata video (interview) ya Senzo ambayo kwa maelezo yake ni kwamba aliugua malaria ya ubongo (cerebral malaria) matokeo yake ni kupotea kwa sauti hivyo akashindwa kuimba kwa muda mrefu.
https://www.facebook.com/video.php?v=1063954897023421
 

Ilikuwa uzushi, Senzo alipata malaria ya ubongo (cerebral malaria) hivyo mfumo wa kuongea/kuimba ukaathirika na kutokana na tatizo hilo hakuweza kuimba kwa muda mrefu.

https://www.facebook.com/video.php?v=1063954897023421
 


Hii uzushi ilianzia (nadhani) South Africa. Ila Senzo yupo hai. Alisimama kuimba kutokana na cerebral malaria infection. Alipoteza kabisa uwezo wa kuimba....Interview yake hii hapa akishangazwa na uzushi huo.
https://www.facebook.com/video.php?v=1063954897023421
 
" ooh Shembeee,shembe is the way,NOBUNAZARETHAAA"...thanks rasta nimekuelewa,but the thing is,mimi ninaamini alikuwa anakula majani!! nmewahi kula sana majani huko nyuma,I remember those moments nakuwa na deep thinking na deep feelings nikilia majani!! nshawahi kuwa na studio kipindi flan,I remember nikila majani nikikaa kwenye FL(fruitloops) hizo beat zinazotoka hapo ni hatariii,ndiyo maana kwa mashairi yake Dube,na messages zake nashawishika kabisa kuamini alikuwa anakula ganja!! mtu wa kawaida huwezi kuwaza kama alivyokuwa anawaza huyu jamaa!!
pamoja rasta,hapa ninaisiikilza "the one" dooh R.I.P prophet Dube
 
Anasema

Those that smoke marijuana wanna thank you father for making it grow internationally,
Even though police cut it down sometimes they burn it down but it grows again
They wanna thank you father
yap anasema "they"... but msanii anaweza kuongelea kitu kingine ilhali akijimaanisha yeye mwenyewe!! anyways,point yangu kubwa ni kwamva,ile deep thinking na zile message zake mtu wa kawaida hawezi andika.there must be a catalyst which is ganja
 
Ilikuwa saa, siku, mwezi, maana hatimaye miaka 10 sasa.R. I. P mwanaharakati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…